Uchaguzi wa urais UDSM, vitimbwi vyatawala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa urais UDSM, vitimbwi vyatawala

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KAMBONA, Jun 12, 2011.

 1. KAMBONA

  KAMBONA New Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wahenga walisema Vita ya kunguru furaha ya panzi.leo ilikuwa siku inayosubiliwa kwa hamu na kila mtu udsm,wengine waliyatalajia yaliyotoke kwa kuzingatia uchaguzi uliotanguria (CASS) wakati wajumbe wa tume ya uchaguzi walipoamua kumbadilisha mgombea wa nafasi ya uenyekiti akagombee ubunge nawa ubunge akagombee uenyekiti siku ya screening.leo ilikuwa ni kali zaidi kwani katibu wa kamati ya uchaguzi aligoma na kuamua kutoka nje baada ya kuchukuliwa watu wawili wa mwisho kati ya watu kumi na saba.alidai wanajiandaa kwenda kulipinga katika ngazi zinazo husika wakati huku mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi na wajumbe wengine wakienda kunywa bia meeda club.alipo hojiwa ULOWA mmoja wagombea uraisi waliopita akasema bahati huwa aikosekani katika siasa.
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,205
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 180
  Duh, Mkuu kama upo UDSM jitahidi kidogo kuandika kwa flow nzuri. Yaani hata hueleweki
   
 3. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi simwelewi
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  na wewe ni mwana chuo?
   
Loading...