Uchaguzi wa Udiwani Rombo: CCM wamwaga hela kama Njugu, Selasini Aomba Msaada

CCM hoyeeee, hoyeeee, wananchi hawajala na wana njaa ya kufa mtu. Kila shahada laki laki, wananchi mnasemaje?
 
Tusilaumu wanaopokea rushwa maana haya maeneo makame sana na watu ni masikini sana. Wakulaumu ni hawa wanaoiba na kuwahonga wananchi
 
Wana JF CCM inatisha sana. Mbunge wa Rombo analalamika CCM wamemwaga mamilioni uchaguzi wa udiwani na wananunua shahada. Anaomba makamanda wenye mapenzi mema tuchangie kwa ajili ya wale walioko field ambao wanapambana. Ujumbe wake huu hapa na pia unapatikana kwenye facebook yake yenye jina Joseph Selasini:

YANAYOJIRI KWENYE KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA NANJARA REHA.
CCM wameingiza shilingi 107 millioni ambazo zinatumika kununua shahada za kupigia kura na kuhonga wapiga kura. Takukuru haioni hata pale wanapoonyeshwa!. Tumeamua kuagiza vijana wetu wa Red Brigade kupambana na hao wanaonunua shahada ambapo wengine ni mabalozi,viongozi wa vijiji na Kata. Kazi hii tuliyowapa vijana hawa ni kazi ngumu inayoh... itaji nyenzo kama usafiri na mawasiliano. Tunaomba yeyote aliyeguswa anaweza kutuongezea nguvu ya rasilimali kwa kutuma kwa njia ya M.Pesa namba 0754580201 au TiGO Pesa Namba 0655580201.

Bado CHADEMA tuna uhakika wa ushindi pamoja na jitihada zinazoendelea.
Ahsanteni sana!
Joseph Selasini (Mb- Rombo)
CHADEMA

how did u know kua kuna 107 millions zimeingizwa kwa kazi hiyo,i think inatafutwa justification ya kushindwa,na hii tabia ya kuchangishana bila kuja kusomeana mapato na matumizi ni wizi pia,jpili tutajua ukweli
 
Tumia sera za Ndesamburo!! Kuwa Kula kwa Magamba kura kwa Magwanda!! Ila kama wananunua shahada!! Hapo ni Hatari!! Na vijana wengi rombo wamepigika wako Tayari kwa lolote!! Wahamsishwe wasiuze Shahada!!
 
Tuendelee kuchanga wandugu hasa wale Warombo tusaidie mabadiliko Rombo. Ukituma elfu tu inaweza ku make difference. Kumbuka vijana wanaohangaika kuzuia watu wasiuze shahada, wanapita nyumba kwa nyumba, watasimamia kura na kuzilinda pia, gharama ni kubwa sana. Jitahidini maana chama ni cha kwetu sote
 
na nyie warombo hebu kueni km arusha bac.....mliopo huko wapeni elim wacuze shahada
 
kama warombo bado wananunulika kirahisi namna hivyo basi hakuna haja ya kuongeza pesa kwani selasini atakua anfanya kilekile ambacho analaani, kugawa pesa

neno
Amesema ni fedha za kugawa ama kwa ajili ya kufanikisha shuhuli mbalimbali za usafiri n.k.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Inatakiwa mbunge yeyote wa chadema ambae jimboni kwake kuna uchaguzi wa udiwani halafu chadema ikapoteza kiti hicho mbunge huyo asiteuliwe tena 2015 kugombea maana ni dalili ameshindwa kueneza chama jimboni kwake na ni dalili atashindwa 2015 endapo atateuliwa so bwana Selasini kaza buti ukishirikiana na makamanda wengine, omba hata msaada kwa mzee ndesa au kamanda lema waje kuongeza nguvu tusipoteze hicho kiti!
 
Back
Top Bottom