Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera,
Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio.
Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady?
Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa salami Sasa hii Ina ashilia Nini kwa taifa?.
Hakuna umuhimu wa tendo la ndoa kwa wagombea wetu ndio maana hawajoa na KUOLEWA?