Hili la uchaguzi ccm imeogopa kupoteza viti vingi zaidi ila nacho kishangaa ni UKAWA wameshindwa kuwa na msimamo matokeo Yake wanakwenda kwenye uchaguzi wakiwa na tume ile ile ya zamani walipaswa kuwa na msimamo wa kuitisha maandamano nchi nzima kuingia kwenyeuchaguzi na tume huru ya uchaguzi
Navojua mimi uchaguz wa serikal za mitaa kwa mara ya mwisho ulifanyika dec 2009. Vp kuhusu kuboreshwa kwa daftari la wapga kura? Kwa maana tangu 2009 up to now is approx to 5 years, kwa hyo kuna vijana weng sana tayar wameshafiksha age ya 18. So serikali inabid iboreshe daftari b4 ya uchaguz hyo 14dec.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.