Uchaguzi wa Serikali za mitaa kufanyika Disemba 14, 2014

Uchaguzi wa Serikali za mitaa kufanyika Disemba 14, 2014

Mimi nawapigia simu kijijini kwetu waanze maandalizi mapema.
 
ni kwa wanachama wenye nia ya kugombea nafasi za w/viti wa vijiji,vitongoji na ujumbe wa serikali za vijiji kupitia cdm.
 
Fomu zimeanza kutolewa leo ofis ya cdm ya kata au kwa makatib wa matawi na makatib wa bavicha,bawacha na wazee kata/tawi
 
Kupitia Taarifa ya habari ITV leo tarehe 22/9 Jaji Lubuva amesema uchaguzi huo utafanyika December na utasimamiwa na ofisi ya waziri mkuu. Hofu yangu ni je ofisi hii itaweza kutoa usawa kwa vyama shiriki? Mawazo yenu wanajf kwa hili ni muhimu.
 
Mbona miaka yote haki ilikuwa inapatikana tangu tupate uhuru kwani leo kunanini acha bangi zako.
 
Back
Top Bottom