Uchaguzi wa rais cbe dodoma ni ccm na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa rais cbe dodoma ni ccm na chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Smallnick, Apr 19, 2011.

 1. S

  Smallnick Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hali ambayo imemuacha kila mtu domo likiwa wazi baada ya kugundua kwamba CCM ilipandikiza wagombea wake 4 ambao katika hao wawili ndio wamefanikiwa kupitishwa na screening commette ambayo nayo haikua ikiaminiwa kbs na wanachuo kwani nayo iliaminika kuwekwa kwa makusudi ya kuhakiki CCM INAMUWEKA RAIS
   
Loading...