Uchaguzi wa mwaka 2025 utaandika historia

Uchaguzi wa mwaka 2025 utaandika historia

Bila shaka kila Mtanzania wa leo anaguswa na machungu mbalimbali yanayotokana na ULEGEVU wa Viongozi wetu waliopo sasa.

Mbaya zaidi, Wabunge waliotakiwa kutusemea na kututetea sisi Wapigaji kura wao, wametugeuka na wameungana na watawala.

Kwa hiyo sasa, Wabunge badala ya kututetea sisi Wapigaji kura wao, wanaitetea Serikali zaidi.
Kwa udhaifu huo, Serikali inafanya inachoweza kwa sababu hakuna wa kuikemea.
Hatma ya haya yote ni Uchaguzi wa mwaka 2025.
Hapo Tanzania utaandika Historia mpya kabisa.
Hatuwezi kuendelea na hali hii.

Kila Mbunge atakayegombea tena 2025, lazima kwanza aeleze amefanya nini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita?

TOZO zimejaa kila kona, je, yeye kama Mbunge alifanya jitihada gani kuzuia uhalifu huo?
Unazungumzia Nchi gani ? Kama ni TZ sahau kabisa sio kwa hawa watz labla wakenya, kama ilishindikana 1995 na 2015 na bado Watz walikuwa kimya basi hata 2025 hakuta kuwa na jipya.

Ni kuomba Mungu katiba ibadilishwe basi kwa sasa hivi.
 
Sema nini CCM itakuja kutoka kwa aibu sana na that time will be unexpected na kila MTU atakumbwa na bumbuwazi
Labda upepo wa hivyo uje ila kutegemea uchaguzi ambao wahadzabe wapo na wanafurahia kupewa nyama ya nyumbu na Rais ndio waje kuchagua blaa blaa za Chadomo haipo..

Masai huko hawajui hata chadema ni kitu gani bali wanaangalia mtu na rangi ya kijani tuu,usukumani hivyo na kwingine kote ccm ndio baba yao 😁😁
 
Bila shaka kila Mtanzania wa leo anaguswa na machungu mbalimbali yanayotokana na ULEGEVU wa Viongozi wetu waliopo sasa.

Mbaya zaidi, Wabunge waliotakiwa kutusemea na kututetea sisi Wapigaji kura wao, wametugeuka na wameungana na watawala.

Kwa hiyo sasa, Wabunge badala ya kututetea sisi Wapigaji kura wao, wanaitetea Serikali zaidi.
Kwa udhaifu huo, Serikali inafanya inachoweza kwa sababu hakuna wa kuikemea.
Hatma ya haya yote ni Uchaguzi wa mwaka 2025.
Hapo Tanzania utaandika Historia mpya kabisa.
Hatuwezi kuendelea na hali hii.

Kila Mbunge atakayegombea tena 2025, lazima kwanza aeleze amefanya nini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita?

TOZO zimejaa kila kona, je, yeye kama Mbunge alifanya jitihada gani kuzuia uhalifu huo?
Tozo zinauma sana. Jana nimetumia 100 x 20 = 2000 mpaka kuingia kwenye akaunti ya benki, mtandao ulikuwa haumalizi muamala lakini 100 inakwenda. Aliyeanzisha tozo hizi Mungu anamuona
 
Goli lipo wazi kwa upinzani ni wao tu wafunge au wabutue
 
Mimi naona Bora tuwape Kura hawahawa waliopo na watapita wengi sana. Hawa wengine huku wanapinga Kodi huku wanataka maendeleo majimboni kwao, inshort hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom