Uchaguzi wa Meya Dodoma: Prof. Mwamfupe(CCM) aibuka kidedea dhidi ya Mch. Kusaja(CHADEMA)

CHADEMA DODOMA MJINI

Leo kulikuwa na Uchaguzi wa Meya muda mfupi(dakika 2)uliopita na matokeo yamekuwa

1.Prof Davis Mwamfupe(CCM)-50

2.Mch Yona E Kusaja(CHADEMA)-8

Wapiga kura walikuwa 58

Zilizoharibika 0

by;-Mathias Raymond Nyakapala
Katibu wa Wilaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu prof ndie alichaguliwa tumajuzi na waziri kuwa diwani ama mjini nyotaa
 
Nilimaliza UDOM Maana 2010 na miongoni mwa maprofesa walionifundisha alikua Prof Mwamfupe wakati huo akiwa Dean wa College ya Social Science. Na ni miongoni mwa best Prof wanaojua vizuri English lakini pia kufundisha. Nakumbuka alinifumdisha kozi ya Urban System alikua anaweza zaidi ya kawaida. Sasa sijui ndo hiyo Meya wa Dodoma ama laa. Kama ni kweli sijui kafuata nini kwenye Udiwani. Kuacha u Dean wa college mpaka kuwa diwani. Kweli Siasa ina nguvu. Kuna siku watu wataacha u lecturer na kugombea uenyekiti wa mtaa
 
Back
Top Bottom