Uchaguzi wa Meya Dodoma: Prof. Mwamfupe(CCM) aibuka kidedea dhidi ya Mch. Kusaja(CHADEMA)

Hii kitu mbona haijakaa sawa kabisa.
Kwa mfano...
-Jina lake linaonyesha yeye ni jinsia ya Kiume, lakini ni Diwani wa kuteuliwa! Hapo imekaaje?

-Professor Mzima aliyekuwa anafundisha UDOM, anateuliwa kuwa diwani, anaacha kufundisha chuo inaenda kutumika tumbo?

-Yaani CCM walikosa kabisa Diwani anayewakilisha kata kuwa mgombea wa Umeya?

To be honest, it is too cheap kwa msomi wa kiwango cha Professor kukubali kuteuliwa Diwani ili ukatumie nafasi ya umeya, hiyo inaashiria kuwa sehemu kubwa ya maprofesa wetu ni WAJINGA kuliko hata raia asiyejua kusoma na kuandika.
 
Yani

Yani wanashangaaa aiiiiseee
 
mwananchi.PNG

Chanzo: Mwananchi
 
Hii kitu mbona haijakaa sawa kabisa.
Kwa mfano...
-Jina lake linaonyesha yeye ni jinsia ya Kiume, lakini ni Diwani wa kuteuliwa! Hapo imekaaje?

-Professor Mzima aliyekuwa anafundisha UDOM, anateuliwa kuwa diwani, anaacha kufundisha chuo inaenda kutumika tumbo?

-Yaani CCM walikosa kabisa Diwani anayewakilisha kata kuwa mgombea wa Umeya?

To be honest, it is too cheap kwa msomi wa kiwango cha Professor kukubali kuteuliwa Diwani ili ukatumie nafasi ya umeya, hiyo inaashiria kuwa sehemu kubwa ya maprofesa wetu ni WAJINGA kuliko hata raia asiyejua kusoma na kuandika.
Yawezekana ikaonekana ajabu kidogo professor kwenda kuwa meya ni km ilivyo kuwa ajabu bwana Manji the billionare kwenda kugombea udiwani(na si hata ubunge)
Lkn yaonekana katika siasa kuna mambo yamejificha(siri za siasa) ambayo cc kwa uchambuzi wa kawaida hatuyaoni yaani imo siri ndani ya siasa.

Ukiangalia kwa haraka Mwamfupe ni km ilivyokuwa kwa Tulia Ackson, huyu pia kateuliwa kuwa diwani(japo bado cfahamu vizuri juu ya km diwani anaweza kuteuliwa) kwa lengo la kuwa meya.

Umeya wa mji/ jiji ni nafasi muhimu kwa vyama katika kufanya maamuzi muhimu kwao hasa ukizingatia kuwa siasa zetu zimekaa kivyama zaidi.

Hivyo suala la uteuzi wa prof. Mwamfupe ni siri ya ccm wenyewe.

Haya ni ya Ngoswe.....
 
Back
Top Bottom