Uchaguzi wa marudio Zanzibar February 29, 2016

Uchaguzi wa marudio Zanzibar February 29, 2016

RAIA TANZANIA halina tofauti na UHURU siku hizi!

Ila mkuu, tulitendee haki hili gazeti la Raia Tanzania.
Kama mnakumbuka gazeti hili ndiyo lilikuwa la kwanza kabisa kuripoti kuwa Dr. Slaa aachia ngazi chadema kufuatia ujio wa Lowassa.
Taarifa hiyo iliudhi wengi. Gazeti kikapewa kila aina ya maneno machafu lkn mwisho wa siku ikadhihirika kuwa ni kweli.
Tangu hapo binafsi silipuuzi tena gazeti hili. Ni tofauti sana na magazeti ya Jambo Leo, Uhuru na Habari Leo. Haya yanaandika kwa ushabiki wa kushabikia kijani.
 
Mikwara miiingi,wapiga kura ni wale wale sefu kama kashinda kihalali anaogopa mini kurudiwa uchaguzi?uchaguzi utarudiwa na hakuna yoyote wa kuleta machafuko.
Jecha kasema kafuta uchaguzi kwa vifungu na kavitaja,mnao hororoja tajeni vifungu vilivyokiukwa muende mahakamani mkafungue shauri la kikatiba badala ya kutishana mitandaoni

Tufahamishe hivyo vifungu vya katiba alivyovitaja Jecha ambavyo vinahalalisha kufutwa uchaguzi
 
Tufahamishe hivyo vifungu vya katiba alivyovitaja Jecha ambavyo vinahalalisha kufutwa uchaguzi

Alivisoma siku anafuta uchaguz sasa km hukusikiliza pole ndo maana cuf wameshindwa kufanya lolote na wanaosema jecha hana mamlaka yakufuta bila ya tume kuridhia mbona sasa hawaendelei kutangaza matokeo na kumtaja mshindi wao bila uwepo wa jecha.waambie wawe wapole wasubili jecha atangaze tareh ya kurudia uchaguzi
 
Maalim ingia kwenye kinyang'anyilo cha uchaguzi usiope kitu kama watu wanakukubali basi bado wewe utakua mshindi usiogope kitu
Ni bonge la Kosa Seif kukubali kurudia Uchaguzi.Uchaguzi unirudiwa mshindi ni Shein 100%.CCM sio wajinga mpaka wanang'ang'ania uchaguzi urudiwe.
 
Alivisoma siku anafuta uchaguz sasa km hukusikiliza pole ndo maana cuf wameshindwa kufanya lolote na wanaosema jecha hana mamlaka yakufuta bila ya tume kuridhia mbona sasa hawaendelei kutangaza matokeo na kumtaja mshindi wao bila uwepo wa jecha.waambie wawe wapole wasubili jecha atangaze tareh ya kurudia uchaguzi

Hakuna kifungu chochote alichorejea Jecha, kingekuwepo ungekitaja hapa ndio maana unaishia kurusha tu mpira. Jaribu kuwa GT, au ndio wale vijana mmejazana nyumbani kwa shemeji zenu kula kulala mnashinda JF kuandika upuuzi??
 
Namuonea huruma sana Mzee Shein, yeye kwa habari zilizopo alishakubali yaishe ila wale wahafidhina wa ccm walioapa kuwa Zanzibar haitabadili uongozi kwa vikaratasi ndio ambao watamponza kama kitanuka huko.
Namshauri kwa vile yeye ndio alikuwa mgombea atoke hadharani na kusema ZEC watangaze tuu liwalo na liwe ili ajiponye na maisha ya mashaka uzeeni. Haipendezi akae miaka kadhaa katika nafasi kubwa kama makamu wa Rais JMT halafu miaka mitano Rais wa SMZ kisha miaka iliyobaki duniani aishi kwa mahangaiko kwa ajili tuu ya kuwaridhisha baadhi ya watu.
 
Hakuna kifungu chochote alichorejea Jecha, kingekuwepo ungekitaja hapa ndio maana unaishia kurusha tu mpira. Jaribu kuwa GT, au ndio wale vijana mmejazana nyumbani kwa shemeji zenu kula kulala mnashinda JF kuandika upuuzi??

Umiza kichwa kwa wew kukitafta hicho kifungu.lakini pia kwa utafiti unaonyesha manaukawa mengi ni mavuta bangi na manywa viroba so sishangai ukidhani na mimi nalala nje ya maduka kama wew ila kumbuka ccm wengi ni wale wenye ajira zao na maisha mazuri upoo
 
Huo ni ucjaguzi wa wajumbe wa nyumba 10 wa ccm . Uchaguzi mkuu umeisha
 
Umiza kichwa kwa wew kukitafta hicho kifungu.lakini pia kwa utafiti unaonyesha manaukawa mengi ni mavuta bangi na manywa viroba so sishangai ukidhani na mimi nalala nje ya maduka kama wew ila kumbuka ccm wengi ni wale wenye ajira zao na maisha mazuri upoo

rudi kwenye hoja,jecha amepata wp uhalali wa kufuta uchaguzi?
 
labda uchaguz wa jecha na ccm,lkn uchaguzi mkuu ulishakwisha kitambo na rais mteule anasubili kuapishwa
 
Mhimili wa Mahakama Tanzania ni tofauti na nchi zenye kukuza demokrasia ya kweli kama Malawi. Ilitokea Rais Joyce Banda aliona kura zinaelekea kushindwa uchaguzi akaufuta lakini mahakama ikasema taratibu za uchaguzi ziendelee kwani hauna kasoro. Mwisho wa majumlisho, Jois Banda akaangukia pua.

Leo Tanzania nchi inayojifanya imekomaa kisiasa na kisiwa cha amani, Mahakama zake zinaonekana kufuta maelekezo ya wanansiasa walioko madarakani kwa maamuzi ya ajabu ajabu tu.
 
Alivisoma siku anafuta uchaguz sasa km hukusikiliza pole ndo maana cuf wameshindwa kufanya lolote na wanaosema jecha hana mamlaka yakufuta bila ya tume kuridhia mbona sasa hawaendelei kutangaza matokeo na kumtaja mshindi wao bila uwepo wa jecha.waambie wawe wapole wasubili jecha atangaze tareh ya kurudia uchaguzi


Wewe si ulimsikiliza tupe hivyo vifungu sisi hatukumsikia ndio utupe wewe uliyekuja kifua mbele

MSIKILIZE HUYU MWANASHERIA ATAKUPA MAELEZO YOTE YEYE NI MMOJA WA ALIYEIANDIKA KATIBA NA HIZO SHERIA ZA UCHAGUZI


 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi unarudiwa ingekuwa ni ccm walishinda huu uchaguzi ungerudiwa?
Demokrasia ni ccm kushinda tuu?

Kama ni busara na hekima nadhani sasa uvumilivu unakwenda kupotea sasa
 
Hawawezi kushindana na serikali na kama huamini subili utajionea wakiingiza hilo jambo subili utajionea nini kinafuata
Sasa kama serikali yetu itaamua kutumia ubabe katika mambo ambayo wanajua wazi kuwa 'wameteleza' basi Taifa letu muda si mrefu litaorodheshwa kuwa miongoni ya nchi zinazoendesha utawala wake kidikteta.
 
Alivisoma siku anafuta uchaguz sasa km hukusikiliza pole ndo maana cuf wameshindwa kufanya lolote na wanaosema jecha hana mamlaka yakufuta bila ya tume kuridhia mbona sasa hawaendelei kutangaza matokeo na kumtaja mshindi wao bila uwepo wa jecha.waambie wawe wapole wasubili jecha atangaze tareh ya kurudia uchaguzi
Kinachoendelea huko Zanzibar ni serikali ya CCM kuendesha mambo yake kibabe.
Siku ambayo Jecha alitoa tamko lake la kuufuta huo uchaguzi katika ZBC tena kwa kutumia mkanda uliorikodiwa, mimi mwenyewe nilimsikiliza.
Hakuna hata sebemu moja ambapo ali-quote Ibara yoyote ya Katiba ya Zanzibar au ku-quote kifungu chochote cha Zanzibar Electoral Commission Act, zaidi sana alikuwa akirudia rudia kwa kusema kuwa anatoa tamko hilo kutokana na mamlaka aliyopewa kisheria bila kufafanua ni vifungu vipi hivyo vya kisheria vinavyompa mamlaka hayo.
Ni dhahiri basi kuwa mamlaka hayo aliyokuwa anadai anayo ni yale aliyopewa na 'kurubuniwa' na viongozi wahafidhina wa CCM ambao 'walimzuzua' kuwa mamlaka hayo anayo!
Na ndiyo maana tokea atoe tamko hilo ambalo hata viongozi hao wa CCM wanalijua kuwa ni batili, wamemkimbiza na kumficha mahali kusikojulikana 'Kivuitu' huyo wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom