Elections 2015 Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matokeo, Tuyakubali!

Hivi kunapokuwa na wagombea wa chama kimoja, unasubiria matokeo gani?
 
Pasco wa JF, what went wrong with You? I'm afraid we've to take you to a Rehab, that Political Opium has destroyed the Pasco wa JF I used to know!
 
Pasco,
Hebu soma kitu kinaitwa, ''Sham Election.''
Ukimaliza soma barua hii ya mwajiriwa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar:
Mohammed Ghassani

Yesterday at 9:51pm ·
Aliyenitumia alitaka niihariri kwanza kisha kama naona inafaa niiweke hapa. Mimi sijaona haja ya kuihariri. Naiweka kavukavu kasoro jina lake tu:

"A.alaykum. Natamani ningeandika kama post yangu ila kwa usalama wangu napitia kwako ukiona inafaa kuiweka au pia kuihariri kabla.

Mimi ni mtumishi wa umma kupitia shirika la serikali.

Kushiriki katika kura ya Jumapili, 20 March 2016 nikuisaliti nafsi yangu. Siwezi kuisaliti nafsi yangu na nafsi za wanyonge walio wengi eti kwa kisingizo cha kulinda ajira yangu. Ajira. Sikuajiriwa kwa sifa ya kupiga kura. Kura imo ndani ya ridhaa ya nafsi yangu. Kura ni uhuru wangu.

Sitaki kwa sababu uchaguzi uliopita sikuona hekaheka za kulazimishwa. Iweje uchaguzi huu nilazimishwe. Uchaguzi uliopita sikuona bakora kuwatesa wanyonge. Uchaguzi huu, wanyonge wanateswa eti kwa kuwa wameyaamua yale wasiyoyaridhia wanga'ng'anizi wa madaraka.

Kama tume haiingiliwi katika maamuzi, basi na tume ya moyo wangu haiingiliwi katika maamuzi ya kwenda au kutokwenda kupiga kura. Kufukuzwa kazi kwa hili kutaacha historia katika uhai wa maisha yangu. Natamani niwe shujaa katika jambo hili. Siendi kupiga kura. Sipigi. Mnatosha na askari wanatosha kupiga kura. Wasipige watu tu, wapige kura. Jumapili ni siku yangu nzuri ya kupumzika.

Mungu ibariki Zanzibar.''

Pasco,

Sasa ingia hapa uwe na picha kamili ya kukusaidia kufikiri:
Mohamed Said: UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR - ALICE IN WONDERLAND
 
 
Pasco unataka tusubiri matokeo ya nini wakati watu wameshajichagua tayari?hapo mshindi ni ccm hizi zingine unazosema sijui uchaguzi huru na wa haki hicho ni kiini macho tu,
Safari hii naona umehamia Lumumba kabisa
Yaani nilipoona picha mintandaoni zikimwonesha Dr Shwain akiwa katika mstari , tuite kupiga kura (maana hatunajapata neno sahihi la maigizo haya) nilibakia kucheka peke yangu. Watu wanaoonekana kuwa wazima lakini wanafanya maigizo ya kisiasa wanatia hasira sana.
 
Sijui post election period itakuwaje huko Zanzibar....
 
Ninamashaka na elimu yako kuhusu masuala ya democracy and election.Watu wawe wamejiandikisha laki moja wakapiga kura watatu alafu useme uchaguzi huo utaelezwa kuwa ulikua huru na haki!!! Rudi shule mkuu.
Musugaji: pasco kaanzisha uzi wa uchokozi tu. Ningependekeza watu wasichangie chochote tuendelee na mada zingine.
 
Nimecheka sana!

Waafrika unyani na utumwa hautatutoka kamwe!!! Ndio maana with all resources and favorable environment..... Tumebaki na maisha ya laana!!!!
Na hiyo laana haitakaa iishe, itaandama hadi kizazi cha 4. Take it from me. Wazungu walishatamka, mwisho wataheshimu maamuzi ya chama tawala kwani hawana cha kupoteza,ila nafsi zao zinatucheka.
Hakika asili ya mwafrika ni nyani na mzungu ni Adam na Eva.
 
Ndio maana hata ngozi yetu inaakisi Giza!!

Ni hopeless creatures!!! Ni wanyama ni Nyani!!

Kuna MTU kaniwekea video ya mtikila sikuwahi iona ila naye uzuri kauzungumzia unyani...

Bara la laana hili.
 
CCM itaendelea kuwanyuka bila huruma.
Haha Entim umeona hii?

Huyu anazungumza haya babake kule sitimbi kavimba macho kwa moshi wa koroboi... Huko kwao ili ufike ni mateso tupu... Ndugu zake wanakufa kwa kukosa huduma bora.... Wanateseka hakuna maji na zaidi ya yote ni mafukara kabisa!!

Anafurahia CCM kuchapa watu!!

Laana tupu hii....
 
Hadi anatia huruma, yupo zama za mawe, yaani "stone age", wenzetu wapo nyuklia age.
 
Kwa wasio kuelewa watatoa povu...ume hit the point
 
Mpiga Zeze,
Hata mie nilipata tabu ya kupata jina la hii, ''movie,'' nikiita ''Alice in Wonderland.''
Angalia hiyo ''movie,'' hapo chini:
Mohamed Said: UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR - ALICE IN WONDERLAND
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…