Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,687
- 239,245
Kwa vile wagombea wote waliowakilisha CUF Kwenye ule uchaguzi wa halali wa 25 OCT ambao chama hicho kilishinda kwa kishindo wamewasilisha barua za kutoshiriki uchaguzi wa marudio zec , na kwa vile zec imekataa kutambua hatua hiyo ya cuf ,
Basi chama hicho kimetangaza kutotambua matokeo hata kama wagombea wake wa uwakilishi , udiwani na urais watatangazwa washindi, na wala hawatokwenda kuapishwa.
Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Kaimu katibu mkuu Nassor Ahmed Mazrui alipokuwa akiongea na waandishi wa habari , amedai kwamba huwezi kukataa kula nyama ya nguruwe lakini mchuzi wake unakunywa .
Vyombo vya habari vimeripoti leo .