Uchaguzi wa kesho nchini Algeria wafutwa

Uchaguzi wa kesho nchini Algeria wafutwa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Baraza la katiba la Algeria limefuta uchaguzi mkuu wa nchi hio uliopangwa kufanyika Julai 4
Uchaguzi mkuu wa Rais wafutwa nchini Algeria

Baraza la katiba la Algeri limefuta uchaguzi mkuu wa nchi hio uliopangwa kufanyika Julai 4.

Taarifa ya maandishi iliyotolewa na baraza hilo inasema katika mkutano uliofanyika ili kuwatathimini wagombea wamegundua kwamba wagombea ni watu wasiofahamika lakini pia hawakuwathilisha nyaraka zinazohitajika hivyo wakafikia uamuzi wa kuufuta uchaguzi wa Julai 4.

Taarifa hiyo inasema kwamba Rais wa muda Abdulkadir bin Salihanapaswa kuitisha tena baraza la uchaguzi na kukamilisha mchakato wa kumpata Rais mpya wa taifa hilo.

Baraza hilo pia limefahamisha kwamba inabidi mazingira yanayofaa nay a uwazi yatengenezwe ili uchaguzi huo uweze kufanyika.
 
sasa umeandika kesho ambayo ni tarehe 4 juni na ndani ya habari ni tarehe 4 julai sijaelewa mkuu hapo
 
Africa ni moja tu
Ndio maana nasema waarabu ni waafrika tu tumepishana Rangi tu Na ndio maana huwezi kuta nchi ya kiafrica yenye majority Wazungu au wachina au wahindi ila waaraby kibao
 
Back
Top Bottom