Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,316
- 72,742
Malalamiko ya muungano wetu kutoka kwa Wazanzibari yanaonyesha kupata ufumbuzi kama wataamua jimbo la Dimani kuchukuliwa na Ukawa chini ya mwamvuli wa CUF.
Kwa Mara ya kwanza imeonekana Wazenji na wabara wakizungumza lugha moja ya maelewano na kusikilizana pia kuheshimiana kupitia viongozi wa Ukawa tofauti na wale wa Ccm wakitoka bara huenda Zanzibar na kutoa kauli tata za kibaguzi na kibabe kama wanatembelea koloni lao.
Zipo dalili kuwa kama Wazenji wataanza sasa kuipa njia Ukawa basi mwelekeo wa Uhuru wao kujiamulia Maendeleo umewadia.
Wazanzibar wajue, ili kujiondoa kwenye ukoloni na kupata muungano wa haki na kuheshimiwa basi ni kuipiga chini Ccm kwa aibu kabisa.