Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanajamvi

Leo ndio leo asiye na mwana aeleke mtungi,ule uchaguzi wa Chadema wilaya ya Arusha KITOVU CHA MABADILIKO UNAFANYIKA HOTEL MANOR SAKINA.

Mungi,Crushwise,Ganjaplanter,Kitu Kizito,Liverpoolfc,Arushaone,Yegella Tunaomba mmiminike jukwaani.

Uchaguzi huu umekuwa na mvuto kutokana na ukweli kuwa Chadema ina historia ya pekee kwa watu wa Arusha

Update 1..............
Inocent amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa BAVICHA wilaya.
Katibu ni Dori Kaaya.

Mwenyekiti wazee ni Emanuel Zacharia
Katibu ni mama Minja.

Mwenyekiti wa BAWACHA ni HAPPY CHALE.

Update 2...........
Wajumbe toka kata zote wamehakikiwa kiuanachama,kiulinzi pia na uchaguzi utaendea punde.
Kwa mujibu wa MC,mgeni rasmi ni KAMANDA WA ANGA FREEMAN MBOWE na KATIBU WA KANDA AMANI GOLUGWA.

Update 3..........
KAMANDA MBOWE NA LEMA WANAINGIA UKUMBINI,WIMBO WA TAIFA UNAPIGWA.
Kamishna wa NCCR Kamanda Chipaka yupo meza kuu.

MKUTANO MKUU WA WILAYA UNAANZA RASMI.
Lema: WASALITI WOTE TUWACHINJIE BAHARINI.

GOLUGWA:NI UCHAGUZI WA KWANZA WA KIHISTORIA KTK KATA NA JIMBO ZIMA LA ARUSHA.

MBOWE ANAZUNGUMZA SASA.
Anadai cdm ipo tayari kufanya kazi na chama chochote chenye mapenzi mema na wananchi.
ANAOMBA PIA RADHI KWA KUVAA SUTI KWANI AMETOKA KTK MKUTANO WA COMMONWELTH AKIWA KAMA MWAKILISHI WA BUNGE..KOMBAT NI VAZI LAKE LA MAPAMBANO.
AMEDAI KUWA CDM IMEKOMAA KUONGOZA NCHI KWANI IMETOKA KTK UANAHARAKATI.

Matokeo:
NSAJIGWA MWAKATOBE amepita bila kupingwa ktk nafasi ya MHAZINI WILAYA.

GABRIEL LUKAS amepita bila kupingwa ktk nafasi ya KATIBU MWENEZI.

WAJUMBE KAMATI TENDAJI
FRANSIS CHUMA
TUMAINI SERIA
KITUMBWIZI BAHATI
MAGRETH SAMSON.

MJUMBE WA MKUTANO MKUU TAIFA.
JAMES LYATUU.

KATIBU
LEWIS KOPWE

MWENYEKITI CDM ARUSHA
MAGOMA DERICK MAGOMA

HONGERA CDM KUPATA VIONGOZI WA KIDEMOKRASIA ARUSHA MJINI.

DALLAI LAMA

Cc. Mungi,Ganjaplanter,Filipo,Crashwise.
 
Wanajamvi

Leo ndio leo asiye na mwana aeleke mtungi,ule uchaguzi wa Chadema wilaya ya Arusha KITOVU CHA MABADILIKO UNAFANYIKA HOTEL MANOR SAKINA.

Mungi,Crushwise,Ganjaplanter,Kitu Kizito,Liverpoolfc,Arushaone,Yegella Tunaomba mmiminike jukwaani.

Uchaguzi huu umekuwa na mvuto kutokana na ukweli kuwa Chadema ina historia ya pekee kwa watu wa Arusha.

Kamanda Dalai lama utatusaidia kutupia update, mimi leo nitakuwa napokea update kutokea machame. Nipo nje ya Arusha leo
 
Last edited by a moderator:
update tafadhal anza na majina ya wagombea
 
ngoja nimalizie mchemsho wa samaki kwanza , huu uchaguzi wa arusha ni zaidi ya yale matakrima wanayopeana chimwaga .
 
Utaratibu wa kuhakiki majina toka kata mbalimbali unaendelea.
 
Lete lete updates. Nchi nzima macho yote ni hapo. Maana arusha ni chanzo n kitovu cha badiliko kama ilihvyo kitovu cha utalii
 
Narudia kuwaomba, mabomu na vitu vyenye ncha kali haviruhusiwi.
 
Mbunge Lema anaingia Rasmi ktk eneo la uchaguzi.

ULINZI UMEIMARISHWA.
 
Ndo manake. Kama ni uongo mbona nawewe ume comment hapa kumaanisha unafuatilia kwa hiari na akili zako timamu. Kwa taarifa yako chadema ndo wanaongoza nchi indirectly
 
Back
Top Bottom