Uchaguzi wa BAVICHA Mkoa wa Njombe moto

ithangaledi

Member
Jun 4, 2011
84
57
Wasalaam wanajukwaa,

Joto la Uchaguzi wa Baraza la Vijana na Chama kwa ujumla Mkoa mpya wa Njombe unazidi kupamba moto.

Taarifa za uhakika kutoka Mkoani Njombe zinaarifu kuwa Kamanda Emanuel Masonga aliewahi kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi SUA amechukua fomu huku akitanguliwa na Kamanda Enosy Edwin ambaye ni mwanasheria na wakili msomi ambaye pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu kwenye serikali ya wanafunzi DARUSO.

Joto la uchaguzi huo limepamba moto huku ushindani ukielezwa kuwa mkubwa kwa makamanda hawa ambapo Masonga anatajwa kuwa na ushawishi mkubwa wa kujenga.

Tutaendelea kuwapa update.

Ithangaledi
 
Joto linatoka wapi wakati njombe hata harufu ya chadema haipo

Acheni kujitaidi kujamba wakati mnajua mnatumbo la kuhara

Mods niwaombe mtuuondolea hivi vitu vyakujaza jukwaa hapa
 
Joto linatoka wapi wakati njombe hata harufu ya chadema haipo

Acheni kujitaidi kujamba wakati mnajua mnatumbo la kuhara

Mods niwaombe mtuuondolea hivi vitu vyakujaza jukwaa hapa

we ----- kweli,njombe unaijua kweli wewe? Waulize magamba wenzako kinachokuja kwenye chaguzi za serikali za mitaa,ccm hapa mjini haipo kabisa
 
we ----- kweli,njombe unaijua kweli wewe? Waulize magamba wenzako kinachokuja kwenye chaguzi za serikali za mitaa,ccm hapa mjini haipo kabisa

Maji yalikatwa hapa sokoni ndiyo maana zilipigwa kura za hasira udiwani ule tuliwapiga chopa tatu kata tatu
 
Maji yalikatwa hapa sokoni ndiyo maana zilipigwa kura za hasira udiwani ule tuliwapiga chopa tatu kata tatu

bora we umesema ukweli maana kile kichapo bado kinaendelea,na mwrzi ws tisa kuna uchaguzi wa kuziba pengo la madiwani wa kata za lupembe ,lazima mliye tena,njombe hii ccm imebakia historia kwenye vitabu
 
wanyalu bana,, yani chadema kushinda hako ka kiti kamoja ka udiwan wameshaona njombe nzima chadema,, hawa kamwene sijui vip
 
Njombe yote ni Chadema sasa hivi, misukule ya Lumumba a.k.a buk saba endeleeni ni kelele zenu tu
 
wanyalu bana,, yani chadema kushinda hako ka kiti kamoja ka udiwan wameshaona njombe nzima chadema,, hawa kamwene sijui vip

CDM Njombe haijaanza kuvuma leo na Lupembe kule ndo sehemu ya kwanza kuwa na diwani wa Upinzani mkoa mzima kipindi bado haujagawanywa kutoka Iringa
 
bora we umesema ukweli maana kile kichapo bado kinaendelea,na mwrzi ws tisa kuna uchaguzi wa kuziba pengo la madiwani wa kata za lupembe ,lazima mliye tena,njombe hii ccm imebakia historia kwenye vitabu

Uchaguzi wa Diwani Lupembe ulishafanyika?
 
Back
Top Bottom