didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,106
- 3,585
Ahsante, ni aibu kubwa sana aise.Poleni sana
Huo uandishi sio kipimo sahihi cha uwezo wangu kikubwa ujumbe umeupata mkuu.Madogo siku hizi mnazingua sana, ardhi ni Moja ya chuo makini sana hapa nchini ila naangalia uandishi wako nabaki kusikitika tu, mnaaibisha vyuo vyenu
Mtoto wa kiume haipendezi kutumia maneno kama ety,maan andika maneno kwa usahihi kijana acha unyoronyoro
Ndo tupo kweny mageuzi ya katiba Mgeni wa jiji Lakini ni ngumu sana kuipata impartiality ambayo tunaipiganiaMwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ni Spika wa Bunge la chuo. Hahaha na wote hapo chuoni mkakubali kabisa?. Anyway utashangaa hata wapigakura wasifike nusu ya wanafunzi wote.
Vitu vidogo vinaanzia mbali sana ili vikue vikubwa.
Komaeni tu wakuuNdo tupo kweny mageuzi ya katiba Mgeni wa jiji Lakini ni ngumu sana kuipata impartiality ambayo tunaipigania
Nimeshangaa spika ndo mwenyekiti wa Time, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ni Spika wa Bunge la chuo. Hahaha na wote hapo chuoni mkakubali kabisa?. Anyway utashangaa hata wapigakura wasifike nusu ya wanafunzi wote.
Vitu vidogo vinaanzia mbali sana ili vikue vikubwa.
Serekare midamida inakwama sana