Uchaguzi UVCCM vurugu tupu Arusha; Chatanda apigwa, ajificha chini ya meza

Natuma salamu kwa Nape, ritz, zawadi Ngoda,Chama, Zomba, Awadh2009, MAMA POROJO.

Ujumbe: chama chetu sikivu kisicho kuwa na vurugu kina zidi kuimarika na kujenga nchi.
 
Hapo nilipo bold una uhakika unachoongea? au umeamka na stimu za viroba na hujanywa hata supu?
 
Yupo hapa Goldenrose hotel, anaongea na waandishi wa habari, akimtaja waziwazi Samwel Sitta kuwa ndio anayefaa kuwa raisi ajaye. Anamwagia sifa lukuki, na ndio maana jana Sitta alisema makundi ndani ya ccm mwisho november mwaka huu.

Source: Nipo ukumbini mimi mwenyewe
 
Kwa hiyo Six ndiye aliyemtuma kuvuruga uchaguzi? sijakuelewa hapo
 
Siku hizi chaguzi za magamba unatakiwa uwe unapasha vuma na kuna wa mbio.. anyway Tendwa ni kipi chama chenye vurugu?

Tendwa yupo likizo bana. Anapumzika kwa washiri akiwauliza walikosakosa vipi kumuua lema kwenye uchaguzi arumeru mashariki.
 
Yupo hapa Goldenrose hotel, anaongea na waandishi wa habari, akimtaja waziwazi Samwel Sitta kuwa ndio anayefaa kuwa raisi ajaye. Anamwagia sifa lukuki, na ndio maana jana Sitta alisema makundi ndani ya ccm mwisho november mwaka huu.

Source: Nipo ukumbini mimi mwenyewe

Sarakasi za magamba bana
 
Watu wanashindwa kuelewa six ni mrouo wa madaraka kelele zote kipindi kile bungeni ulikuwabni wivu yu kwa Lowassa .
 
Hao ndo chama cha mapinduz wanazid kupinduana sijui mpaka lin,tendwa haon hayo polis wanapelekwa pelekwa halafu wanachoka mishahara midogo kaz kubwa hicho ndo chamabwe bana
 
Chitanda ni katibu mkuu wa CDM Arusha, chama ambacho ni cha vurugu, alienda kufanya nini ktk uchaguzi wa CCM?
Mh Nape bado haujarudi toka shopping na kuishitaki CDM kwa kuleta vurugu ktk chaguzi zenu?
Sjakusoma mh hebu nyoosha maneno
 
Tendwa yupo likizo bana. Anapumzika kwa washiri akiwauliza walikosakosa vipi kumuua lema kwenye uchaguzi arumeru mashariki.
Mkuu Mestod,
umetuacha hoi... nasikia anasema kama kamuhanda kusimsakame amebakisha siku chache astaafu...
 
Huyu mama alishawahi kusema uhisiano wake na rais unaenda beyond kazi za chama na serikali,yeye,mkuu wa mkoa waliletwa kwa kazi maalumu lkn cha kushangaza mkoa wa Arusha umekuwa ngome ya kubwa ya CDM,kavuruga chaguz ili mtu anayetakiwa na Ritz 1 ashinde pamoja na kumwaga hela zote hizo bado mipango yao imekwama....

Ile chorus ilikuwa inaimbwa hivi: " chama chao cha mapinduzi kinahujumu nchi; chama chao cha mapinduzi kinahujumu nchi! Weraaah hizo ni rasharasha tuu! bado wataingia chini ya meza na kupanda juu ya miti, na bado tutaona na kusikia mengi maana huko musoma wameambiwa wawe wanavuta bange kabisa! piga picha umevuta bange, na wengine wameenda ukumbini kwakiwa na miguu ya kuku kama huko Torabola huo ukumbi utakuwaje? Tanganyika nakupenda kwa meno yangu yote!
 
Back
Top Bottom