Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Nape Nnauye

MP Mtama
Joined
Dec 26, 2012
Posts
99
Reaction score
408
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

pole gamba naona umenyeshewa mvua

naona gamba linalouwa watu kichwa chini

2.jpg
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Naamini chama chako kitafanya Review hasa ya kikmkakati kwa kubadilisha wapiga kampeni wenu,kuweni makini sana Mwigulu Nchemba amechafuka sana jipangeni upya.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Ninapata shida sana kuielewa sehemu hii ya bandiko lako
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

sasa ni dhahiri nyie ndo mliolipua bomu!

Btw!

Kwako najua unafurahia sana kilichotokea!
 
Kweli hilo ni jibu la haraka haraka, sasa inabidi utueleze kwa nini tujipige bomu wenyewe ili tushinde?
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Busara kama hii Mwigilu hana, yeye anajua ni ushindi tu kwa gharama yoyote ile! na hicho ndicho kinachowagharimu nyie CCM.
 
Ok, umekubali kushindwa au? Na vipi umerizika, kama jibu ni ndio, nini unadhani ni sababu ya kushindwa, timu yako ya kampeni, sera zenu
, wananchi wamekichoka chama chenu au Chadema wamewachakachua? Lakini pole yenu
 
Back
Top Bottom