Uchaguzi ukiwa Huru na Haki CCM watashinda Vijijini, Chadema watashinda Mijini na ACT Wazalendo watashinda Pemba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,029
Kwa mtazamo huo unaweza kuona mshindi wa Jumla atakuwa CCM kwa sababu Eneo kubwa la Tanzania ni Vijijini

Hili huitaji kufafanuliwa na Mganga wa kienyeji Kwamba Bush Stars kuchele

Ila bunge litachangamka sana kwa sababu mbunge Mmoja wa Town ni Sawa na 100 wa Village

Kwako Lucas 😂🔥
 
Back
Top Bottom