Mimi nataka ashinde maza yupo vizuri sanaMimi sitaki theresa ashinde
Sababu ya kuitisha uchaguzi, May alitaka majority, lakini hakupata ingawa alipata viti vingi, ili aweze kuunda serikali anatakiwa apate 326 viti na kuambulia 318 alipoteza 12" chair ukitofautisha ma awali. Kuna chama DUP kimeungana na conservative, DUP wana viti 10, kwa maana sasa May anaweza kuunda serikali. . Huku labour party wakitaka may aachie madaraka kwa wao ndio wenye majority hivyo ni kuunda serikali mpya. May hakukubali na kuungana na Northern Ireland.hatimaye kashinda!
vyedi
Vipi kura za maoni zinasemajeIngekuwa hapa kwetu, saa hizi ungesikia Kiongozi fulani kaonekana na Shahada za kupigia kura.