Uchaguzi UK

Uchaguzi UK

Ninacho kiona conservative wanataka kufa kama gladiator, hawataki kuachia ngazi ili labour party na vyama vyengine kumaliza mchezo wa briexit.. Future's May is depend on her... Atuachie Britain yetu[emoji23]
 
Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu. Huyu mama alitaka kuufuta upinzani na badala yake akajikuta akiwainua na yeye kushushuliwa. Shame on her.
 
Back
Top Bottom