Uchaguzi Simba waahirishwa na TFF......

Uchaguzi Simba waahirishwa na TFF......

Hapa simba iandike maumivu. Wakati simba inamaliza uchaguzi usajili utakuwa kwishney na timu itakuwa mdebwedo kwa kuokoteza wachezaji magarasa kama msimu ulioisha. Kwa sakata hili timu zingine zitanufaika na simba itazidi kudhoofika kwa sababu kati ya "wambura and co." na "friends of simba" hakuna anayekubali kushindwa. Ili kuikoa simba kwa sasa lazima busara ya maamuzi itumike kwa mmojwapo akubali kushindwa akae pembeni kabisa kwa miaka 4 kati ya hao washindani wawili. Mashindano yao madhara yake ni makubwa sana kwani kwa sasa hata timu ndogo zinajiandaa kwa nguvu kwa ajili ya ligi msimu ujao tusijeshangaa simba ikashuka daraja.
 
7.jpg
 
Mi ndo mana sina time kabisa na soka la bongo. Liko vululu vululu kama CCM

Uchaguzi wa chadema lini?

nasikia mmechakachuwa katiba yenu, sasa mna mwenyekiti Sultan, anakuwepo pale maisha anakuja kurithi mwanawe, mkwewe au amtakae yeye.

Na waliouliza hilo mmewafukuza.

Halafu bado una ubavu wa kuongelea ya CCM?
 
Piga ua Matajiri wanaojiita friends of simba hawatakubali Wambura agombee uchaguzi SSC. Watatumia kila aina ya mbinu aenguliwa kugombea. Wanahisi akishinda utakuwa mwisho wao kuinyonya SSC katika kisingizio cha ufadhili. Haiingii akilini kuwa uamuzi wa kamati ya rufaa unapingwa kwenye chombo cha chini. Kwa sababu ikiwa ni kamati ya maadili, iwe ni ya SSC au ya TFF bado kimamlaka itakuwa sio juu ya kamati ya rufaa ya TFF.

Uko sawa.
 
Malinzi nilikuwa namtegemea sana, kwa hili amemchungulia mama yake. Inamaana TFF haikujua kuwa Simba haina hizo kamati anazotaka ziundwe? Haiingii akilinikuwa Katiba ya Simba ilielekwa kwao na baadae kwamsajili arafu leo wanasitishwa uchaguzi? Ningeuwa mimi ndiye Damai Ndumaro, ningemuchia Malinzi hiyo kamati ya Simba ya uchaguzi
 
Malinzi nilikuwa namtegemea sana, kwa hili amemchungulia mama yake. Inamaana TFF haikujua kuwa Simba haina hizo kamati anazotaka ziundwe? Haiingii akilinikuwa Katiba ya Simba ilielekwa kwao na baadae kwamsajili arafu leo wanasitishwa uchaguzi? Ningeuwa mimi ndiye Damai Ndumaro, ningemuchia Malinzi hiyo kamati ya Simba ya uchaguzi

umenikuna sana Nicholau
 
Wambura tuachie SIMBA yetu bhana ahaa!
huna kazi ya kufanya?
 
Uchaguzi wa chadema lini?

nasikia mmechakachuwa katiba yenu, sasa mna mwenyekiti Sultan, anakuwepo pale maisha anakuja kurithi mwanawe, mkwewe au amtakae yeye.

Na waliouliza hilo mmewafukuza.

Halafu bado una ubavu wa kuongelea ya CCM?

Ccm nao wanarithishapa pia kama chalinze pia.
 
Uchaguzi wa chadema lini?

nasikia mmechakachuwa katiba yenu, sasa mna mwenyekiti Sultan, anakuwepo pale maisha anakuja kurithi mwanawe, mkwewe au amtakae yeye.

Na waliouliza hilo mmewafukuza.

Halafu bado una ubavu wa kuongelea ya CCM?

10449934_698343663566655_2698235190063373639_n.jpg
 
[h=1]MALINZI AWAPA SIMBA SC KILE WANACHOTAKA, ARUHUSU MCHAKATO WA UCHAGUZI UENDELEE[/h] Home » Unlabelled » MALINZI AWAPA SIMBA SC KILE WANACHOTAKA, ARUHUSU MCHAKATO WA UCHAGUZI UENDELEE
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Mainzi ni kama ameridhia mchakato wa uchaguzi wa Simba SC uendelee, lakini tu ameshindwa kuweka wazi.
"Kwa ustawi wa soka ya Tanzania, naamini maelewano yatapatikana,"amesema Malinzi akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya TFF, makutano ya mitaa ya Garden na Ohio, Dar es Saalaam.
Waandishi wa Habari walitaka kujua kama ameruhusu zoezi la uchaguzi wa Simba SC, liendelee au la kufuatia kauli ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage juzi. [TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Rais Malinzi akizungumza katikati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

"Namshukuru Mwenyekiti wa Simba SC, Rage na Kamati yake ya Utendaji tangu juzi wamekuwa katika mawasiliano na mimi kwa nia nzuri tu, wakiomba uchaguzi usisimamishwe. Nami nimeruhusu mgombea mmoja aliyekata rufaa yake Kamati ya Rufani ya TFF, kesi yake isikilizwe leo.
Mazungumzo yanaendelea, na yataendelea baada ya kikao cha leo, naamini hakuna kitakachoharibika, ufumbuzi utapatikana,"amesema Malinzi.
TFF ilisimamisha mchakato wa uchaguzi wa Simba SC hadi hapo klabu hiyo itakapounda Kamati ya Maadili ambayo itasikiliza masuala ya kimaadili kuelekea uchaguzi huo.
Malinzi alisema mwishoni mwa wiki kwamba Simba SC inatakiwa kuwa imekwishaunda Kamati ya Maadili hadi kufika Juni 30, mwaka huu, hatua ambayo alidai imefuatia TFF kupokea malalamiko mengi juu ya ukiukwaji wa maadili kwa baadhi ya wagombea na wanachama wa klabu hiyo.
Malinzi alisema kwamba baada ya kuundwa kwa Kamati hiyo Maadili itasikiliza malalamiko yote ya kimaadili yanayougubika mchakato wa udhaguzi huo, ambao awali ulipangwa kufanyika Juni 29, mwaka huu.
Aliagiza kwa sasa Kamati ya Utendaji ya Simba SC iliyopo madarakani chini ya Mwenyeiiti wake, Rage itaendelea kuiongoza klabu hiyo hadi hapo mchakato wa uchaguzi utakapokamilika.
Lakini mwanzoni mwa wiki, Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC ilimpinga Malinzi, ikisema TFF haina mamlaka ya kusimamisha uchaguzi huo na Jumatatu, Rage akamuomba raisi huyo wa TFF aache mchakato wa zoezi hilo uendelee kwa manufaa ya Simba SC.
 
Ilikuwa kazi yake? Hiyo ni kazi ya Kamati ya utendaji

Mdau kamati ni watu, so pia nao wanaweza kutumiwa kwa manufaa ya wa watu kama fos. Eti friends of simba? Mi naona tuwaite enemy of simba. Yaani mtu anashindwa lipa ada ya mwanae, alipe miln. 20 za mchezaji, kisa anaipenda sana. Tusidanganyane jamani. Wambura oyeee
 
Back
Top Bottom