Uchaguzi Simba waahirishwa na TFF......

Uchaguzi Simba waahirishwa na TFF......

.
Dr.Ndumbaru vipi mbona kimya so ulisema Wambura so chochote mbona amekubwaga?
 
ivi wewe malinzi Una nini wewe mzee?
kama umeshindwa kuendesha soka kaa pembeni
ulikua wp siku zote kuona hamna kamati ya maadili?
si mmetoa uamuzi juz nyie kua wambura arud kugombea? na uchaguz uendelee
Leo unakuja na nini? uchaguz unatakiwa ufanyike ili ili timu na viongozi wafanye usajil acha kutumika we mzee
 
watakoma unafiki na fitina za soka na uongozi dhidi ya wenyewe kwa wenyewe."siye yanga wa nyakato mwanza roho kwaatu!adui yako mwombee njaa.(hata mama mwanaidi wa kijiwe cha kahawa national aliwaasa kufanya uchaguzi bila mgawanyiko wa kimakundi).

=Si hata Yanga mnazinguana? Vipi Tawi la Tandale?
 
ivi wewe malinzi Una nini wewe mzee?
kama umeshindwa kuendesha soka kaa pembeni
ulikua wp siku zote kuona hamna kamati ya maadili?
si mmetoa uamuzi juz nyie kua wambura arud kugombea? na uchaguz uendelee
Leo unakuja na nini? uchaguz unatakiwa ufanyike ili ili timu na viongozi wafanye usajil acha kutumika we mzee

Kazitunayo Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba ilitoa maamuzi juu ya uhalali wa uanachama wa mmoja wa wagombea,kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ilitengua maamuzi haya.Baada ya hapo TFF tukaletewa malalamiko juu ya maadili ya wagombea,inabidi yasikilizwe na kamati ya maadili ya Simba sc.Haya ni mambo mawili tofauti kabisa,tusiyachanganye.
 
Last edited by a moderator:

Well said presidaa. Wacha demokrasia ichukue nafasi...
 
Kazitunayo Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba ilitoa maamuzi juu ya uhalali wa uanachama wa mmoja wa wagombea,kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ilitengua maamuzi haya.Baada ya hapo TFF tukaletewa malalamiko juu ya maadili ya wagombea,inabidi yasikilizwe na kamati ya maadili ya Simba sc.Haya ni mambo mawili tofauti kabisa,tusiyachanganye.

Well said presidaa.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1402865328333.jpg
    1402865328333.jpg
    50.8 KB · Views: 66
Kazitunayo Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba ilitoa maamuzi juu ya uhalali wa uanachama wa mmoja wa wagombea,kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ilitengua maamuzi haya.Baada ya hapo TFF tukaletewa malalamiko juu ya maadili ya wagombea,inabidi yasikilizwe na kamati ya maadili ya Simba sc.Haya ni mambo mawili tofauti kabisa,tusiyachanganye.

Sawa, tumekuelewa mheshimiwa. Unafanya vzuri sana kujitokeza hapa jukwaani japo mara chache kuja kujibu hoja. Swali langu ni hivi: Je wakati TFF mnaruhusu mchakato wa uchaguzi uendelee hamkujua kama SSC haina kamati ya maadili na hivyo yangetokea malalamiko ya kimaadili zoezi zima lingekwama? Mheshimiwa huoni kama wewe na ofisi yako mmepoteza umakini kiasi flani?
 
TFF, SIMBA NA YANGA hawana tofauti na wanandoa wa jinsia 1.
 
Namuunga mkono Jamal Malinzi 100% kwa hili sababu hao Simba walianza kutoa shutuma kwa TFF na specific kwa Rais Malinzi kabra na baada ya kamati ya Rufaa ya TFF kukaa na kutoa maamuzi wakadiliki hadi kusema Wambura anarudishwa sababu ni rafiki wa Malinzi (utetezi wa kipuuzi kabisa) lakini wakashindwa kutambua wao kwenye club yao ndio walishindwa kuuunda vyombo hivyo vya maamuzi wakaamua kukasimisha hiyo kazi kwa TFF, alichofanya Malinzi ni sahihi tena alichelewa ni bora wakafanya mambo yao wenyewe kwa kuunda kamati zao wakishindwana ndio waje TFF halafu hao Friends of Simba kama wanadhani mgombea wao ndio chaguo la wanachama wa simba si waache wanachama waamue mbona kama wamejikita kutaka kupata ushindi wa mezani hovyo kabisa tena kuna wengine wana heshima zao wanajidhalilisha kila kukicha.
 
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kusimamisha uchaguzi wa Simba uliopangwa kufanyika Juni 29.

Rais wa TFF, Jamal Malinzi amewaambia waandishi wa habari hivi punde kwamba wamesimamisha uchaguzi huo na kuiagiza Simba kuunda kamati ya maadili.

Baada ya hapo, rufaa zilizokatwa na wanachama wakiwapinga baadhi ya wagombea zitapelekwa kwenye Makati hiyo.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya TFF katikati ya jijini la Dar es Salaam, Malinzi alisema TFF wameona huenda utaratibu unavyokwenda unaweza kuathiri uchaguzi huo.

"Hivyo TFF inawaagiza Simba kuunda kamati ya maadili ambayo itachukua uamuzi wa kuyashughulikia malalamiko ya wanachama baada ya mchakato wa kamati ya uchaguzi.
"Lakini ikitokea kuna watu hawajaridhishwa na hilo, basi moja kwa moja watakata rufaa kwenye kamati ya maadili ya TFF," alisema huku akitaja kutumia katiba ya Simba ibara ya 16 kifungu 1(e) na ibara ya 30 kifungu (h).

Baada ya kamati ya uchaguzi ya Simba kukamilisha michakato yote, rufaa ziliwasilishwa kwenye kamati ya rufaa ya TFF ambayo ilitoa uamuzi wa kumrudisha mgombea wa Urais Michael Wambura.

Lakini wanachama wengine wakakata rufaa wakianisha mambo kadhaa likiwemo suala la Wambura kugushi barua ya katibu mkuu wa zamani wa Simba, Evodius Mtawala kama ambavyo Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Simba, Dokta Damas Daniel Ndumbaro alivyosema.

Kutokana na hali hiyo, suala limeonekana kuwa gumu na TFF inalirudisha suala hilo Simba kwa maana moja au nyingine.

Hoja ni kwamba, mchakato wa uchaguzi wa klabu yoyote hauwezi kuendelea kama TFF haijabariki mchakato huo,vilevile SSC hawakufanya mchakato huu kimyakimya. Je TFF kwann iliruhusu mchakato huu uendelee ili khali wakijua kuna kamati muhimu haijaundwa? usiongee kishabiki tu, Inamaana TFF waliota tu kuwa katika uchaguzi wa SSC hakutakuwa na ukiukwaji wa kimaadili na ndo maana wakaruhusu mchakato uendelee? Kuna kitu hukijui kwamba hata huyo Malinzi unaemsema hao FoS sio maadui zake na wanasaidiana kwa mambo mengu TU.
 
Mimi wala sijasema Friends of Simba wana uadui na Malinzi na najua fika baadhi yao ni watu wake wa karibu mtu kama Kaburu ni wazi yupo karibu na Malinzi, lakini kama utakuwa umenielewa vizuri nimejenga hoja katika dhana kwamba tayari wadau wa simba wameonesha kutokuwa na imani na TFF tena kwa kuwaita waandishi na kuishutumu TFF na hasa Malinzi waziwazi sasa kwa hali kama hiyo TFF kwa nini isiwarudishie wafanya mambo yao kuanzia awali ili kuepusha lawama zisizokuwa na kichwa wala miguu kwa TFF hivyo ni wazi busara ilikuwa ni kuwarudisha waanze kuunda vyombo vya kusimamia mambo yao ndio mchakato uendelee wewe ulitaka waendelee halafu waje waseme TFF ndio waliwaingilia wewe kama ni mwanachama wa Simba mnaogopa nini kufata maelekezo ya TFF na msimamie mambo yenu Eboooooo.
 
Kazitunayo Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba ilitoa maamuzi juu ya uhalali wa uanachama wa mmoja wa wagombea,kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ilitengua maamuzi haya.Baada ya hapo TFF tukaletewa malalamiko juu ya maadili ya wagombea,inabidi yasikilizwe na kamati ya maadili ya Simba sc.Haya ni mambo mawili tofauti kabisa,tusiyachanganye.

Unapotangazwa uchaguzi na watu wakajitokeza kugombea pingamizi yoyote kwa mgombea au mpiga kura, iwe ya sifa, maadili, uanachama, n.k. zinapelekwa kwenye kamati ya uchaguzi ambayo itatoa maamuzi. Hakuna kamati mbili wakati wa uchaguzi ili kuamua kama mgombea au mwanachama ana haki ya kushiriki katika huo uchaguzi. Kwa maana nyingine kama hiyo kamati ya uchaguzi itatoa uamuzi ambao kuna watu wasioridhika, watakuwa na haki ya kukata rufaa. Hii ni kusema kuwa mambo ya maadili ambayo inadaiwa yalipelekwa TFF kwenye kamati ya maadili yalitakiwa yakatiwe rufaa. Haikutokea hivyo sio kwa kutokujua bali ni makusudi kwa sababu waliona ile kamati ya rufaa ya TFF ingeyaamulia na uchaguzi usingekuwa na kikwazo tena. Sasa wenye pesa wakaja na hiyo trick na inaelekea kufanya kazi au kufanikiwa.
 
Mimi wala sijasema Friends of Simba wana uadui na Malinzi na najua fika baadhi yao ni watu wake wa karibu mtu kama Kaburu ni wazi yupo karibu na Malinzi, lakini kama utakuwa umenielewa vizuri nimejenga hoja katika dhana kwamba tayari wadau wa simba wameonesha kutokuwa na imani na TFF tena kwa kuwaita waandishi na kuishutumu TFF na hasa Malinzi waziwazi sasa kwa hali kama hiyo TFF kwa nini isiwarudishie wafanya mambo yao kuanzia awali ili kuepusha lawama zisizokuwa na kichwa wala miguu kwa TFF hivyo ni wazi busara ilikuwa ni kuwarudisha waanze kuunda vyombo vya kusimamia mambo yao ndio mchakato uendelee wewe ulitaka waendelee halafu waje waseme TFF ndio waliwaingilia wewe kama ni mwanachama wa Simba mnaogopa nini kufata maelekezo ya TFF na msimamie mambo yenu Eboooooo.

Ok, sasa 2naelewana. Nnachopinga mimi ni kusema Malinzi/TFF wako sahihi kwa 100% kwa kusimamisha mchakato wa uchaguzi kwa 7bu hawakuunda kamati ya maadili, walitakiwa kuwaagza toka mwanzo kama walivyowaagiza kwanza wafanye mabadiliko ya katiba ndipo wafanye uchaguzi. Wangeweka wazi kuwa kamati ya MAADILI ni muhimu kama ilivyo kamati ya UCHAGUZI hivyo ni lazima ziwepo zote 2 ndipo mchakato uanze, na sio kama hivi ilivyotokea mchakato unafika mwisho karibia kampeni zianze afu ndipo TFF wanaibuka kusema kuwa kamati hazijakamilika wakati wao walikuwa wanaufatilia mchakato toka mwanzo.
 
Back
Top Bottom