Uchaguzi serikali za mitaa ni vituko Kiteto

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Katika hali ya kusikitisha na inayotakiwa kukemewa ni kile cha aliyeshindwa uchaguzi kuapishwa na kuachwa aliyeshinda

Msala huu umetokea huko kijiji cha Lengatei Kara ya Lengatei ambapo mshindi wa CHADEMA aliyepata kura 199 ameachwa NA kuapishwa wa CCM aliyepata kura 68

Nini maoni yako?
 
Hata kwenye uchaguzi uliopita wa madiwani,wabunge na uraisi,wapinzani walishinda sana..ila ccm walibadilisha matokeo na huo utaratibu wa tume kutangaza mshindi,ni mauaji. ccm waliwatangaza wangapi walioshindwa?TUOMBE MUNGU UCHAGUZI HUU VI2O HAVIKUWA VINGI.
 
huku pugu
mtaa anaoishi mizengo pinda
aliyeshinda ni chadema na baada ya pinda kujua akatuma sms kwa afisa mtendaji ya kumwambia hayupo tayar kuongozwa na chama pinzani ktk mtaa wake so afanya aliwezalo apite wa ccm
 
Back
Top Bottom