Uchaguzi ni wa Watanzania

Uchaguzi ni wa Watanzania

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kuna mabishano makali kati ya wanasiasa wa vyama mbali-mbali nchini ambavyo vyote kwa ujumla wao vinawakilisha maslahi ya wananchi.

Ila ukiangalia kanuni, sheria, miongozo na taratibu za sasa za uchaguzi, utaona tu kuwa zinaminya usawa katika mchakato wa kupata viongozi wanaochaguliwa na wananchi kwa haki kabisa.

Huu ni wakati sasa wa taifa kusonga mbele kwa kudumisha demokrasia ya kweli.

Viongozi waliopo madarakani kwa sasa, hususani rais SSH una nafasi ya kuitengeneza Tanzania imara au ya ovyo ambayo itaingia machafukoni watu watakopolazimisha kupata haki.
 
Back
Top Bottom