Habari ndio hiyo.
CCM na mabilioni Yao yauchaguzi UCHAFUZI hayaendi kuzuia hili.
Project ACT na CHAUMA ilishafeli kabla ya kuanza, CCM kuendelea kuwapa pesa vyama hivyo ili kufanya showoff za kujaza watu kwenye mikutano Yao Hilo nalo ni sawa na kusukuma upepo. Kwa maana Kila mtu Sasa anajua CCM ndio WAHAINI rasimi wanaozuia mifumo ya haki ya wananchi. Kwa kuweka viongozi wasio na sifa na takwa la wananchi.
TEC na makanisani ya kikristo tunasubiri muongozo wenu sisi waumini namna ya kutoshirikiuchaguzi UCHAFUZI huu.
CCM na mabilioni Yao ya
Project ACT na CHAUMA ilishafeli kabla ya kuanza, CCM kuendelea kuwapa pesa vyama hivyo ili kufanya showoff za kujaza watu kwenye mikutano Yao Hilo nalo ni sawa na kusukuma upepo. Kwa maana Kila mtu Sasa anajua CCM ndio WAHAINI rasimi wanaozuia mifumo ya haki ya wananchi. Kwa kuweka viongozi wasio na sifa na takwa la wananchi.
TEC na makanisani ya kikristo tunasubiri muongozo wenu sisi waumini namna ya kutoshiriki