Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Mkuu Masanilo, next week utatimiza miaka sita hapa Jukwaani.

Nilitegemea utuletee hoja badala ya vioja.

Najua mnahasira baada yakusikia wanaserengeti wameamua kulinda mbuga yao baada ya Msomali Kinana kua pande zile.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtu mzima kuwa na hoja kama za mfu unashindwa kuelewa upo kwenye mada gani mkuu rudi kwenye mada.

Hapa nako kuna mada mwambie arudi kwenye majungu uliyopost hapa. Ndugu zako bariadi wanateseka hawana hata maji wewe uko huku wewe unapost utumbo.
 
Let us come point of you "UCHAGUZI CHEDEMA NI LINI?"
 
Let us come point of you "UCHAGUZI CHEDEMA NI LINI?"
Ni jambo la kujiuliza mkuu iwapo kila siku tunapiga kelele juu ya katiba na demokrasia kisha kwenye vyama hatufanyi uchaguzi tunaonyesha picha gani kwa wananchi? kama kweli tunataka kuonyesha njia ni vizuri uchaguzi ukafanyika.

Nenda kwenye neno ufisadi kwani mzee slaa alivyochota pesa za chama na zile kanisa na kugoma kulipa siyo ufisadi?

mbona povu? kila siku unawaza Slaa tu,hakika Dr kayashika pabaya magamba.ustake kujipoteza kwani hapa bongo nani asiyeyajua mafisadi? hata watoto wa chekechea wanajua mafisadi yamejazana CCM
 
Topic ni nzuri lakin nyie vijana wa lumumba ndio mnaiharibu kwan mnaingiza na majungu pamoja na mambo mengine yasiyokuwepo.
 
Topic ni nzuri lakin nyie vijana wa lumumba ndio mnaiharibu kwan mnaingiza na majungu pamoja na mambo mengine yasiyokuwepo.
ni kweli kabisa topic ni nzuri sana kwa wapenda demokrasia "charity begins at home" maana huwezi kuhubiri demokrasia nje wakati ndani demokrasia hakuna.

Kwani nyie huko kwenu hamjaanza uchaguzi ngazi ya misingi na matawi?
 
Unajua nilikuwa najiuliza sana meno ya tembo yote anayouza fedha anapeleka wapi!? kumbe anawalisha wale wajeshi wanaovaa madera na kandambili..!? we're doomed.

Ni kweli kabisa umepatia, very good umepata yote, sasa naomba ujibu na hili swali ili ufaulu kwenda kidato cha pili.

Hivi UCHAGUZI NDANI YA CHADEMA NI LINI?
 
Mmmmh! Kupata hoja madhubuti hapa kazi kwelikweli,Tanzania ya kweli sasa ni sawa na kutafuta paka mweusi gizani.Bora akapatikana dikteta mmoja akatufunza adabu kidogo.
 
Ni kweli kabisa umepatia, very good umepata yote, sasa naomba ujibu na hili swali ili ufaulu kwenda kidato cha pili.

Hivi UCHAGUZI NDANI YA CHADEMA NI LINI?
kwa kweli ukiona wanakuja na hoja za meno ya tembo, mara sembe ujuwe wanashindwa kujibu UCHAGUZI NDANI YA CHADEMA NI LINI?
 
Mmmmh! Kupata hoja madhubuti hapa kazi kwelikweli,Tanzania ya kweli sasa ni sawa na kutafuta paka mweusi gizani.Bora akapatikana dikteta mmoja akatufunza adabu kidogo.
haina haja ya dikteta ila msajili akifute chama cha siasa kisichotaka kufanya uchaguzi
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…