Kila la heri mliopo diamond, tunataka kiongozi asie itegemea tim ila timu imtegemee
Ukweli mtupu,
Hakuna mwenye nafuu hapo.
Yangu inataka kiongozi atakayeifanya ijitegemee kwa kuwa na vyanzo vyake yenyewe.
Mkuu mimi sio mwanayanga lakini sentensi yako haina unafuu, bora hata ingekuwa kinyume chake maana timu ikimtegemea mtu siku akikorofishwa tu ndo timu hakuna tena lakini bora zaidi ni timu kujitegemea, maana hadi sasa hivi Tanzania hakuna timu inayojitegemea hata moja.Kila la heri mliopo diamond, tunataka kiongozi asie itegemea tim ila timu imtegemee