Uchaguzi mkuu wa sudan tarehe 11-13 april 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mkuu wa sudan tarehe 11-13 april 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Original Pastor, Apr 12, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sudan ni nchi ambayo inaongozwa na Field Marshall Omar al Hassan Bashir kwa kuipindua nchi hiyo mwaka 1987 mpaka leo hii ndio amejivua cheo chake cha Field Marshall na kuwa raia na kuamua kugombea kama raia mwema. Wachunguzi wa mambo wamesema Bashir amejihakikishia kushinda kwa asilimia 95% je huu sio udikteta? kwa maelezo zaidi tembelea mtandao wa huko Sudantribune, New version (gazeti la suda), mtandao wa kikundi cha waasi cha JEM inaitwa www.sudanjem.com ambacho kina wanajeshi wengi wanaosaidiwa na Chad pamoja na Eltrea. Lolote likitokea tutajulishana asante
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jimbo la Darfur inchini Sudan ambayo leo ni siku ya mwisho ya uchaguzi,Jana askari wanne wa kulinda amani Wametekwa nyara na wassi wa huko ila Juhudi zinaendelea kuwatafuta.
   
Loading...