Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidao, akanusha maneno ya Haji Manara

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Katibu mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu TFF Wilfred Kidao amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Yanga Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF Wallace Karia, alifanya makosa.

Kidao amesema maneno hayo si ya kweli, na sekretarieti ya TFF haina nafasi ya kuendelea kuzungumzia jambo ambalo tayari limetolewa uamuzi na chombo huru cha TFF.

20220725_161320~2.jpg
 
Katibu mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu TFF Wilfred Kidao amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Yanga Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF Wallace Karia, alifanya makosa.View attachment 2303466
Tatitizo la Manara anaropoka Sana bila kutumia akili! Kama alikosa mshauri angetuuliza huku JF tumshauri before ya press yake!

Anyway,. "Mwanakulifind mwanakuliget"
 
Lenyewe limmekaa kimajungu walivyo lifukuza simba likakimbilia kwenye media mala babra amefukuza wafanyakazi wote mala mo anamuonea wivu yy ni maarufu kuliko mo mala atamuonesha babra kua yy ni zaidi yake acha zzambi ya usaliti imtafune maana kwenye mpira ashatoka alibaki kwenye majungu kwa nn asijifunze kwa bumbuli
 
Kwangu hakuna haki ya kisheria iliyotumika kumfungia Mr.Manara,chombo huru na chenye kujitegemea ndicho kingehusika na kesi hii, Mr.Manara nakushauri uende mahakamani ukadai haki yako
 
TFF mlieni timing uyu bwana mdogo mumtandike kitu Cha maisha
Na kwa jinsi alivyochanganya mambo leo hii kwenye press, hata wale waliokuwa wakimtetea watachoka sasa..! Kumbe Kidao naye kalishwa maneno yaani..!
 
Back
Top Bottom