UCHAGUZI mkuu JF

UCHAGUZI mkuu JF

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ili kujenga heshima kati ya Members na uendeshaji endelevu wa JF,napendekeza ufanyike uchaguzi Mkuu humu wa kupata Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Mweka Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Uchaguzi huu hauhushani na kuwavua heshima Founders na Moderators. MUHIMU:Karibuni kwa maoni juu ya kuchukua fomu,kurejesha fomu,usaili wa wagombea,uteuzi wa wagombea,kampeni na uchaguzi wenyewe ukifuatiwa na kiapo kwa wachaguliwa.
 
Mimi sitaki kuiingiza JF kwenye upuuzi wa uchaguzi. Fursa tulizo nazo hapa zidumu
 
Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11

halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya
 
Last edited by a moderator:
kwanza hatujuani wengi wetu so kufanya hivyo inabidi tuwe open kitu ambacho si kizuri
 
Umeona mapungufu gani mpaka useme hivo,humu JF hakuna kata,jimbo wala kijiji
 
Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11

halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya

Kwanini unam judge mwenzako kwa idadi ya post zake?
 
Weka mapendekezo yako vizuri ili tuelewe lengo lako nini. Pamoja na mapendekezo hayo ainisha mapungufu yaliyopo kwa sasa, weka mfumo na majukumu ya viongozi wote unaoipendekeza na utueleze kwa mfumo huo mpya unaoupendekeza kutatokea maboresho gani/ or what would be the expected outcome. Hivi ilivyokaa naweza kusema unataka kuongeza idadi ya post zako tu hapa.
 
Ili kujenga heshima kati ya Members na uendeshaji endelevu wa JF,napendekeza ufanyike uchaguzi Mkuu humu wa kupata Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Mweka Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Uchaguzi huu hauhushani na kuwavua heshima Founders na Moderators. MUHIMU:Karibuni kwa maoni juu ya kuchukua fomu,kurejesha fomu,usaili wa wagombea,uteuzi wa wagombea,kampeni na uchaguzi wenyewe ukifuatiwa na kiapo kwa wachaguliwa.

Mkuu, nyie watu kwa kuwa na mentality ya kudandia vya bure hamjambo.

Ukikataliwa utaanza maandamano, jihadhari na Shilogile-wa-Kamuhanda wa JF, usijesema hukuambiwa!
 
Kwanini unam judge mwenzako kwa idadi ya post zake?
Maundumula, wewe ni member wa muda mrefu sana humu, japo kiitikadi tupo tofauti lakini umejijengea heshima. mwenzetu hana hata mwezi tayari anakuja na wazo la uchaguzi! Inaonyesha ni kiasi gani baadhi ya members wasivyo serious na mambo ya msingi, badala yake anatuwekea post za kupotezeana muda!
Mods waipeleke hii kwenye jukwaa la jokes!
 
Nakushauri uwe na mind set ya kubadirika. hakuna kinachoshindikana na pia usijaribu kujenga misingi ya watu flani kuwa vingunge hapa JF. Kuna watu wako hapa toka day 1 na vitu wanavyopost hapa ni kama vile wale C 1 Bugando.
 
Hili ni jukwaa la siasa, na kwa post hii unatakiwa uwe na mindset ya kuweza kuelewa post, siyo kila upumbavu unajadiliwa kwenye jukwaa hili. well, upo upumbavu unaoweza ku-draw attention za members, lakini siyo kama huu!
 
Muweka hazina ndio itakuwa ni mbinde, watu walivyo na njaa, lazima tutapigana ngumi kama za mwanza.
 
Unataka uje kutupata kwenye vikao hivyo? Ushindwe na nia yako ya kutaka tujulikane kwako. Aliyekutuma mwambie huku uongozi uliopo unatosha......

vyeo vyetu ni hivi hapa
1. J member
2. Member
3. Senior Member
4. JF Senior Expert Member
5. verified.......

na vingine vingi angalia kulia kwa wall picture yako.
 
Back
Top Bottom