Nakumbuka Mrema alivyoasi CCM na vurugu aliyofanya , sasa inategemea ACT itampata mgombea urais anaekubalika maeneo yepi je atairarua UKAWA na kuiacha CCM salama ama atairarua CCM inamaana ACTwapate kura nyingi maeneo ya Pwani au katikati ya nchi. Kwakuwa hakuna chama kitakachofikia51% uchaguzi iutarudiwa ndani ya miezi mitatu kati ya UKAWA na CCM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.