UCHAGUZI MKUU: ACT kuvuruga mipango ya CCM na UKAWA

Mgogoro wa ACT sasa
watinga mahakamani
 Posted by: Saed Kubenea
 2 days ago  0 Comments
 300 Views
HATIMAYE yametimia. Alliance for Change
and Transparency (ACT-Tanzania), chama
kipya cha siasa nchini na ambacho
kilitarajiwa kuongozwa na Zitto Zuberi
Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini,
kimemfungulia kesi Samson Mwigamba na
genge lake. Anaandika Saed Kubenea.
Kesi hiyo imefunguliwa Mahakama
Kuu, Kanda ya Dar es Salaam na
Lucas Kadavi Limbu, mmoja wa
waasisi na mwenyekiti wa taifa wa
chama hicho na wenzake watano.
Viongozi wengine wa ACT walioungana na
Limbu kumfungulia kesi Mwigamba,
aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho
na ambaye amefukuzwa uwanachama, ni
Leopald Mahona, naibu katibu mkuu
(Bara) na Grason Nyakarungu, katibu
mwenezi na mwenyekiti wa vijana taifa.
Wengine walifungua kesi hiyo, ni
Ramadhani Suleiman, makamu
mwenyekiti (Zanzibar) na mwenyekiti wa
ngome ya wanawake, Dotto Chacha
Wangwe. Kesi hiyo ni Na. 1 ya mwaka
2015.
Katika hati ya kiapo kilichowasilishwa
mahakamani, Limbu, Nyakarungu,
Mahona, Ramadhani na Wangwe, wanadai
kuwa Mwigamba na Prof. Kitila, mshauri
mkuu wa chama hicho, wamefanya
mapinduzi ndani ya chama kinyume na
katiba ya ACT.
Prof. Kitila aliyekuwa mjumbe wa Kamati
Kuu (CC), ndani ya Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), alifukuzwa
uanachama mwaka mmoja uliopita; ndipo
akajiunga na ACT-Tanzania.
Alituhumiwa kushiriki njama za kuhujumu
chama na kuandaa mipango isiyo halali ya
kubadilisha uongozi Chadema. Alikiri
kushiriki njama.
Katika ACT, Prof. Kitila anakabiliwa na
tuhuma zilezile. Naye Mwigamba ambaye
alikuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa
wa Arusha, alifukuzwa kwa madai ya
“kuhujumu chama, usaliti, kukashifu
viongozi wakuu wa chama na
uchonganishi.”
Katika chama kipya sasa, Mwigamba na
Prof. Kitila wanatuhumiwa makosa
yaleyale na hasa kile kinachoitwa “kutaka
kuleta mapinduzi ili Zitto Kabwe, ambaye
pia alifukuzwa Chadema, aweze kuwa
mwenyekiti wa ACT-Tanzania.”

Marehemu act
 
Inaunga mkono hoja ACT wako very strategic,kadawi ametumika alishndwa mbowe seuse Huyu mvaa makubasi, we are coming apishe
 
Kisha baada ya bunge kuvunjwa patatokea wanasiasa watakaoasi si tu kutoka CCM bali hata kutoka UKAWA . ni vizuri UKAWA wakajiandaa kisaikoloji kwani wapo wanachama waliokuwa na mipango ya muda mrefu kugombe katika nafasi mbalimbali ambao kutokana na sera ya kupishana ya UKAWA wakakosa uvumilivu ,hawa wataenda ACT. Vivyo hivyo watakaoenguliwa CCM wataenda ACT. ni wazi kuwa ACT itaimarika ghafla na kuleta upinzani usiotarajiwa kwa CCM halikadhalika UKAWA. Kwa namna hiyo CCM na UKAWA watalazimika kuingia uchaguzi wa marudio maana inawezekana ACT kupata kati ya asilimia 18% mpaka 23% na kuacha asilimia 82 mpaka 77 hii itategemea mgombea wao wa urais. Tunzeni hii ha projection mutaikumbuka. msiwadharau kina Kitila wana dhamira na watashirikiana na kila atakayekuwa tayari kukamilisha malengo UKAWA mna kazi ya ziada maana mnawadharau hawa ACT

Wabunge 23 toka CHADEMA muliosema watajiunga na ACT wameshajiunga tayari?.
 
Ajabu...Chama cha siasa kinategemea kuimarika kwa kuchukua watu walioachwa na vyama vingine wakati wa uchaguzi!
 
Ni vizuri UKAWA mukastrategize ni vipi mnaweza kunufaika na ACT yenye nguvu ama ni vipi mnaweza kuweka mikakati ya kuinyima pumzi kuliko kusubiria mkono udondoke. CCM can decide, wakiona ACT ina faida kwao wataiwezesha kimahakama iwe na utulivu ,kesi itaenda chapchap na kina Kitila watashinda.Wakiona kwa ushushushu wao ACT haina faida watainyima pumzi. UKAWA ndio watastukizwa. Hiki chama kinatambaa kupitia mifereji ya chadema. Nimetafiti na kujiridhisha sababu ya ACT kuweza kusimamisha wagombea karibu mikoa yote ya Pwani na magharibi vivyohivyo udiwani na ubunge.Wakipata mgombea urais mwenye ushawishi hali itakuwa tofauti sana na hii ya leo. Nasubiri napokea lugha za kila aina kwa thread hii ila mtakumbuka
 
Kisha baada ya bunge kuvunjwa patatokea wanasiasa watakaoasi si tu kutoka CCM bali hata kutoka UKAWA . ni vizuri UKAWA wakajiandaa kisaikoloji kwani wapo wanachama waliokuwa na mipango ya muda mrefu kugombe katika nafasi mbalimbali ambao kutokana na sera ya kupishana ya UKAWA wakakosa uvumilivu ,hawa wataenda ACT. Vivyo hivyo watakaoenguliwa CCM wataenda ACT. ni wazi kuwa ACT itaimarika ghafla na kuleta upinzani usiotarajiwa kwa CCM halikadhalika UKAWA. Kwa namna hiyo CCM na UKAWA watalazimika kuingia uchaguzi wa marudio maana inawezekana ACT kupata kati ya asilimia 18% mpaka 23% na kuacha asilimia 82 mpaka 77 hii itategemea mgombea wao wa urais. Tunzeni hii ha projection mutaikumbuka. msiwadharau kina Kitila wana dhamira na watashirikiana na kila atakayekuwa tayari kukamilisha malengo UKAWA mna kazi ya ziada maana mnawadharau hawa ACT

Unataka tujadili hâta njozi zako?! Kama Unakiamini unachokisema; wataje kwa majina hao watakaohama na watakakohamia ili itusaidie kuverify fact and fiction against figments of your own fantasies!
 
hakuna k2 kama hicho utakuwa ni muujiza Shetani kupiga goti kwa Yesu kabla mwisho haujafika ,maandiko yatatimiaje
 
Tishio kama hili liliwahi kuwepo uchaguzi mkuu wa 2010 wakati mzee 6, nape, Dr. Mwakyembe wakiwa ni wanachama wa siri wa chama cha CCJ, kuja kustuka kumbe joka la kibisa, halina meno ingawa linatisha, here we go this year again, act; chama kilichokufa kabla hata hakijaanza kutembea.
 
Kisha baada ya bunge kuvunjwa patatokea wanasiasa watakaoasi si tu kutoka CCM bali hata kutoka UKAWA . ni vizuri UKAWA wakajiandaa kisaikoloji kwani wapo wanachama waliokuwa na mipango ya muda mrefu kugombe katika nafasi mbalimbali ambao kutokana na sera ya kupishana ya UKAWA wakakosa uvumilivu ,hawa wataenda ACT. Vivyo hivyo watakaoenguliwa CCM wataenda ACT. ni wazi kuwa ACT itaimarika ghafla na kuleta upinzani usiotarajiwa kwa CCM halikadhalika UKAWA. Kwa namna hiyo CCM na UKAWA watalazimika kuingia uchaguzi wa marudio maana inawezekana ACT kupata kati ya asilimia 18% mpaka 23% na kuacha asilimia 82 mpaka 77 hii itategemea mgombea wao wa urais. Tunzeni hii ha projection mutaikumbuka. msiwadharau kina Kitila wana dhamira na watashirikiana na kila atakayekuwa tayari kukamilisha malengo UKAWA mna kazi ya ziada maana mnawadharau hawa ACT
Hahaaaaa! naona unamdiss MM. Mgombea gan mwenye akili timamu ajiunge na chama hakina mwenyekiti wala katibu!
 
Hili genge mbona lilishakufa hata kabla ya hiyo october? Nimeamini kweli usaliti ni laana!
 
Unataka tujadili hâta njozi zako?! Kama Unakiamini unachokisema; wataje kwa majina hao watakaohama na watakakohamia ili itusaidie kuverify fact and fiction against figments of your own fantasies!

the work of great philosophers is to speculate and not to analyse hard facts. Ideas according to palato are more meaningful and real than real objects. ungependa nitoe habari za kuripoti matukio. Kwamba Zitto kamsalimia mbowe hizo zina daraja lake watu wa magazeti watafanya nini, facebook wafanye nini
 
Ni vizuri UKAWA mukastrategize ni vipi mnaweza kunufaika na ACT yenye nguvu ama ni vipi mnaweza kuweka mikakati ya kuinyima pumzi kuliko kusubiria mkono udondoke. CCM can decide, wakiona ACT ina faida kwao wataiwezesha kimahakama iwe na utulivu ,kesi itaenda chapchap na kina Kitila watashinda.Wakiona kwa ushushushu wao ACT haina faida watainyima pumzi. UKAWA ndio watastukizwa. Hiki chama kinatambaa kupitia mifereji ya chadema. Nimetafiti na kujiridhisha sababu ya ACT kuweza kusimamisha wagombea karibu mikoa yote ya Pwani na magharibi vivyohivyo udiwani na ubunge.Wakipata mgombea urais mwenye ushawishi hali itakuwa tofauti sana na hii ya leo. Nasubiri napokea lugha za kila aina kwa thread hii ila mtakumbuka

Kwa hiyo kusimamisha ndio kushinda? Binafsi kwa maeneo yangu sioni jimbo ambalo act inaweza shinda hapa kanda ya ziwa na huko ulipopataja.
 
Kisha baada ya bunge kuvunjwa patatokea wanasiasa watakaoasi si tu kutoka CCM bali hata kutoka UKAWA . ni vizuri UKAWA wakajiandaa kisaikoloji kwani wapo wanachama waliokuwa na mipango ya muda mrefu kugombe katika nafasi mbalimbali ambao kutokana na sera ya kupishana ya UKAWA wakakosa uvumilivu ,hawa wataenda ACT. Vivyo hivyo watakaoenguliwa CCM wataenda ACT. ni wazi kuwa ACT itaimarika ghafla na kuleta upinzani usiotarajiwa kwa CCM halikadhalika UKAWA. Kwa namna hiyo CCM na UKAWA watalazimika kuingia uchaguzi wa marudio maana inawezekana ACT kupata kati ya asilimia 18% mpaka 23% na kuacha asilimia 82 mpaka 77 hii itategemea mgombea wao wa urais. Tunzeni hii ha projection mutaikumbuka. msiwadharau kina Kitila wana dhamira na watashirikiana na kila atakayekuwa tayari kukamilisha malengo UKAWA mna kazi ya ziada maana mnawadharau hawa ACT

Sawa Kitinda Mimba cha Sheikh Yahya (RIP), umesomeka
 
kwa hiyo ACT ni chama kinachotegemea watu kutoswa kwenye vyama vyao ndo nyie mnawapokea kama mashujaa

act ni chama kinachosubiri wasaliti wa nyama vingine, ndio maana wanagombana hata kabla ya kuzindua chama
 
Back
Top Bottom