huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Habari wanajamvi.....
Nikivuta picha halisi ya uchaguzi Mkuu 2015 natamani tu kucheka hasa kwa wazungusha mikono wazee wa mabadiliko,Mafuriko ya mashabiki hewa hawana hata kadi ya kupiga kura wala hawajiandikisha sehemu yeyote ile kuwa watakuja kupiga kuraaa kazi yao kuzungusha tu mikono mabadilikoooo lowasaaaaa,lowasaaaaaa mabadilikooooo
Hatimayeeee tumeona matokeo yake...
Lengo kuu ya thread hii ni kwamba hivi mafuriko yote yale ya ccm kuhamia Ukawa ilikuwa na lengo gan?????
Je walitegemea kuwa lowasa atashinda na hatimaye watapata vyeo??
Je ni wazalendo kweli??
Kama walikihama Ccm na kwenda UKAWA kwann warudi ccm baada ya Lowasa kushindwa kama kweli walihama kwa lengo la kuwa wazalendo??
Hivi Sumaye alikuwa anakosa nn ndan ya ccm Kama Waziri Mkuu mstaafu??
Miaka yote kumi hakujua kama ccm haimfai??
Wap Msindaii,mpendazoeeeee
Je walikuwa wanaigiza???
Kidumu chama cha mapinduzi....
Wanataman kurudi lakn sasa wataanzia WAP........
.