Uchaguzi Meya wa Jiji waahirishwa

Uchaguzi Meya wa Jiji waahirishwa

confirmed - umeahirishwa , wahusika hawajui hata sababu iliyowasukuma kuahirisha uchaguzi huo , bali kuna tetesi kwamba lumumba inataka mamluki wapige kura , kwa hofu kwamba UKAWA ikichukua jiji itafukua uozo wa kutisha ambao wadadisi wanasema haujawahi kufanyika mahali popote duniani .
 
Vipi wabunge wa zenji wa chama tawala hawajatakiwa kuingia kwenye uchaguzi?
 
confirmed - umeahirishwa , wahusika hawajui hata sababu iliyowasukuma kuahirisha uchaguzi huo , bali kuna tetesi kwamba lumumba inataka mamluki wapige kura , kwa hofu kwamba UKAWA ikichukua jiji itafukua uozo wa kutisha ambao wadadisi wanasema haujawahi kufanyika mahali popote duniani .
Hyo ni delay tactics ili wale mawaziri ambao hawajaapishwa wapige kura baada ya kuapishwa hivi karibuni
 
swali ni je wanazidi 13 ? hivi mtu mwenye uwezo mdogo kama Juma simba Gaddafi ndio wa kumuachia aratibu njama nzito kama hii ? hataweza .
 
Mkuu kumbuka ni umeya wa jiji so mamluki wote kutoka wilaya zote watakwepo kino tu walikwepo c chini ya sita akina balozi mahiga et al
 
Kulukaluka kwa MAHARAGE ndo kuiva kwake.
 
Back
Top Bottom