Huku kwetu jogoo chadema walitapakaza sumu kali ya kwamba kuna eneo lipo hapa eneo la uwanja kua lilikua ni open space likauzwa na viongozi wa CCM, lile eneo kunavijana walikua wanalitumia kucheza mpira pia kina mambo yao mengi walikua wanafanyia. Chadema wakagundua tukisambaza sumu hii kila moja aliekua natumia ule uwanja ataichukoa CCM, wakawaahidi wakishinda aneo linarudi kwa wananchi. Ukweli ni kwamba hawawezi lirudisha kwasababu lile bi eneo la mtu na ana doc. Zote ila alihamua kuwaachia vijana watumie siku akilihitaji atatumia. Sasa tuone ilo eneo litarudi kwa wananchi? CHADEMA wanasumu kali sana.