Wapendwa nimeshangaa kuona watu wengi wakisema kwamba uchaguzi mdogo umetoa dira ya uchaguzi 2020 napenda kusema kwa mtazamo wangu siyo kweli kabisa, pia nimewaona wachambuzi washabiki wanaotafuta uwaziri wakisema ccm 2020 inakuwa kwenye mteremko.
Niwahakikishie Watanzania wenzangu kuwa uchaguzi wa 2020 kama kutakuwepo tume huru ya uchaguzi watu hawata amini watakachokiona.. uchaguzi huu ni kama utafiti na uchambuzi uliokuwa unafanywa hapa USA wakati wa kampeni za Urais hakuna mtu aliyedhani Trump angeshinda hadi watu walipata shock wakafa..
2020 watu watapata shock maana miaka 4 ijayo nimingi sana you can't predict anything