VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Kwani alipogombea alidhani kuna nini huko?Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.
Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Mimi uchaguzi ambao najua unanukia kama pafyumu ya Beyonce ni wa jimbo la Gairo. Mbunge wa jimbo hili anasema biashara zake za mabasi zinadidimia kwasababu ya kutumia muda wake mwingi mjengoni Dodoma.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.
Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
Mkuu hiyo ya Kibaha sijui, ila nina uhakika uchaguzi wa jimbo la Segerea unanukia kwa karibu sana!
Anakaribia kujiuzulu...
Unanukiaje? Anataka kujiuzuru au kwa njia gani unanukia? Fafanua kidogo hapo.
Anakaribia kujiuzulu...
Anakaribia kujiuzulu...