Uchaguzi mdogo kata ya Chipogolo,mkoani Dodoma jimbo la Kibakwe | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mdogo kata ya Chipogolo,mkoani Dodoma jimbo la Kibakwe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mathias Raymond Nyakapala, Oct 29, 2017.

 1. Mathias Raymond Nyakapala

  Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2017
  Joined: Mar 1, 2017
  Messages: 1,013
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Maelezo ya KATA
  Sehemu:Kata ya CHIPOGOLO ipo Mkoa wa Dodoma,Jimbo la Kibakwe,Wilaya ya Mpwapwa,kata ilipo ni kilometa zaidi ya 91 kutoka Makao Makuu ya Mkoa.

  Vyama vilivyochua Fomu na kutudisha ni
  1.CHADEMA
  2.CCM

  Wagombea ni vijana wote wana umri chini ya miaka 30 na wahitimu wa Vyuo vikuu...

  HOSEA MANYIA FWEDA ni mgombea wa CCM

  .[​IMG]

  JAFARY JUMANNE SIMBA ni mgombea wa CHADEMA....

  [​IMG]

  Kipenga kiipurizwaaaaaa Chipogolo kazi inaanza,nimeanzisha huu Uzi kwaajili ya kueleza kampeni zote mpaka mwisho kwenye Uchaguzi huu mdogo pekee mkoani Dodoma!
   
 2. mgunga pori

  mgunga pori JF-Expert Member

  #21
  Nov 13, 2017 at 4:02 PM
  Joined: Jul 23, 2016
  Messages: 591
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
   
 3. The Valiant

  The Valiant JF-Expert Member

  #22
  Nov 15, 2017 at 8:20 AM
  Joined: Aug 16, 2017
  Messages: 1,388
  Likes Received: 1,922
  Trophy Points: 280
  sasa wagogo si wanajulikana ni ccm
   
Loading...