Uchaguzi Mdogo Arusha Mjini, Hypothetical Case: Jk vs Matonya

Uchaguzi Mdogo Arusha Mjini, Hypothetical Case: Jk vs Matonya

Ungempigia nani kura uchaguzi mdogo wa ubunge Arusha mjini kati ya JK na Matonya? Hapa tuna asume ii


  • Total voters
    82
Matonya asilimia 90%? Makubwa hayo
 
JK = Matonya (wote omba omba) ooooo!!!! Noooo... JK yuko juu yeye amekalia dhahabu na huku anaomba unga!!!!!
 
5dba1674-9f0d-12b2.jpg
 
Matonya bado anaongoza kwa kishindo
 
Lusinde akitukana tu, ana matusi, nyie jiwe ni marashi.
 
Pamoja na kwamba ni hypothetical, ungewapambanisha hayo ndio yatakuwa matokeo halisi
 
Jamani naombeni mpige kura ya maoni, Arusha Mjini uchaguzi mdogo wa ubunge kama JK angeruhusiwa na katiba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM na Matonya wa Dodoma agombee kwa tiketi ya Chadema nani ungempigia kura yako?

Mkuu hakikisha matokeo haya yanatoka kwenye page ya kwanza ya gazeti lolote! Au hairuhusiwi kutangaza matokeo mpaka tume itangaze?
 
matonya na jk sioni tofauti ..wote nawaona ni ommba omba
 
Hii inathihirisha ni jinsi gani watu wamechoka
 
Back
Top Bottom