Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Wakuu hamjambo?
Leo kwenye pitapita zangu nimekutana na huu mtandao wa peperonity. ambao ni hatari zaidi ya hatari
Ni mtandao unaongoza kwa kuwa na mashoga wengi sana, ikifuatiwa na wanawake wasagaji, wanaume wasioleweka, pamoja na wanawake wanaofanya kinyume na maumbile
Nimehuzunika sana wakuu kwani vijana wetu wa kiume kuanzia miaka 13 hadi kuendelea wanaanza kujifunzia ushoga humo.
Mbali zaidi kuna site maalum hukohuko za kupost comment za kutafutana kiukweli nimeumia kuona vijana hasa wa kiume walivyoharibikia humo
Huu mtandao wa huu. naiomba tcra waufunge kutokana na kutumika kuwaharibu vijana hasa wa kiume wengi mamia kwa maelfu wamegeuza kule kama pahala pa kujiuzia, kujifunza na kutafuta wanaume.
Nachowaomba jamani tahadharini sana na huo mtandao kwani dunia ya sasa imeharibika vibaya mno. Na ni jambo la kuhuzunisha sana
Epukeni huu mtandao jamani msije kujuta bure na pia vijana wetu hususan wa kiume wapewe maadili bora pamoja na kuwaepusha na vishawishi vya mitandao kama hii
Nawasilisha