Baada ya New York, idadi ya wajumbe hadi sasa ni kama ifuatavyo;DEMOCRAT NY
Matokeo yakiwa 94% ya kura, Bi Clinton ameshinda kwa 57.5 hadi sasa, Bw Sanders 42.5%
Kwa hali yoyote Bi Clinton atakuwa ameshinda kwa point Zaidi ya 10 kama kura za maoni zilivyoeleza kabla ya uchaguzi
Ushindi wa Clinton ulikuwa muhimu na alionekana kufarajika sana akieleza furaha yake ya kushinda NY alikokuwa Seneta. Ushindi ni mkubwa ikizingatiwa idadi ya wajumbe
Dem ni uwiano hata hivyo uwiano huo hutegemea jimbo na jimba NY ikiwa na taratibu zake.
Ushindi wa leo umemuongozea morali na kuondoa hofu aliyokuwa nayo kwa wiki kadhaa
Kwa upande wa Sander, kushindwa NY kuna atahari zifuatazo
1. Nyumbani alikozaliwa, ilitarajiwa kuwepo na ushindani. Kushindwa kwa point 15 ni tatizo
2. Alitakiwa ashinde ili kuonguza gap kati yake na Bi Clinton, kinyume chake kwa utaratibu wa Dem na NY Clinto atakuwa na wajumbe takribani 50 Zaidi ya Sanders na hivyo kufukia mashimo ya chaguzi ziizopita
3. Kunazidi kupunguza uwezekano wa kushinda katika majimbo yenye watu wa rangi
4. Imeonyesha katika state ambazo uchaguzi ni closed kwa Dem Sanders hana nguvu
5. Inatia shaka kama wafuasi katika mikutano yake na ufuasi wa 'wajumbe'
Inaendelea
Nguruvi3, kuna wanaofikiria kwamba msimamo wa Meneja wa Kampeni, Jeff Weaver, huenda yameathiri ushindi wa Sanders kwa kiwango kikubwa. Matamshi yake yametafsiriwa na baadhi ya wachambuzi kwamba yameelekezwa zaidi katika kukidhoofisha chama hicho na kuinufaisha GOP.KUELEKEA JUMANNE APRIL 26
REPUBLICAN
Matokeo ya Jummane kwa GOP hayawezi kubadili sana hali ya msimamo wa wagombe
Ni matokeo yanayoweza kubadili picha kwa jicho la kisiasa.
Baada ya NY Trump ana momentum, Sen.Cruz akipoteza na Kasich akiwa power broker
Hali ya Republican inatia shaka, wimbi la magwiji kususia mkutano mkuu (RNC) linaongeza. Mgombea wa Rais 2008 J. McCain ameonyesha kususia, akiungana na J.Bush na maseneta wengine.
Zipo taarifa RNC wanakaa kikao kubadili taratibu zilingane na mazingira ambapo uwezekano wa kwenda uchaguzi mkuu ni 50/50. Tutaendelea kuwajuza kinachojiri
DEMOCRAT
Baada ya ushindi wa NY , kampeni ya Bi Clinton inashika kasi.
NY ilimchanganya Bw Sanders.
Kampeni ilitambua haiwezi kushinda, lakini si kupoteza kwa asilimia takribani 15
Kura za maoni za taasisi zote zinaonyesha Bi Clinton akiongoza Connecticut, Maryland na Pennyslavania. Hakuna kura za maoni za taasisi kwa Rhode Island na Delaware
Taasisi ya Quinnipiac katika kura za maoni za Jumatano inaonyesha Bi Clinton akiongoza Connecticut kwa 51% kwa 24%. Idadi ya wajumbe wa inayoitwa constitutional state ni
Macho yapo Keystone state (Pennsylvania) yenye delegates na super delegate takribani 210 na Old line state (Maryland) wajumbe takribani 118
Kwa wale wa NBA Washington Wizard walianzia Maryland kabla ya kuhamia DC
Connecticut ndipo aliposomea Hasim Thabiiti kabla ya draft ya kuingia NBA
Majuzi kura zinaonyesha ifuatavyo; Clinton 50% kwa 38% Pen, nyingine 50% kwa 44%. Ni wazi, matokeo yatakaribiana pengine 50 kwa 48 au 49.
Kwa hali yoyote hayo yatakuwa matokeo mazuri kwa Bi Clinton ikitokea
Bw Sanders akishinda Pennyslavania itampa nguvu ya kuendelea na kampeni California. Kampeni ya Sanders inasema California ni wajumbe takribani 540 wanaoweza kuziba pengo la tofauti yake na Bi Clinton.
Matumaini ya Sanders ni kuwa California ni 'open primary' na hivyo kuweza kuvuta ' independents'. Pamoja na matumaini hayo lipo suala moja, la proportionality. Tutajadili
Kwa upande wa Maryland nako hali si nzuri kwa Bw kufuatana na kura za maoni
Hadi juzi ilikuwa 58 % kwa 36% . 'Old line state ' ina wajumbe takribani 118
Delaware na Rhode Island hakuna kura za maoni. Wachambuzi wanasema, upigaji kura wa Pennsylvania na Maryland uta influence Delaware nyumbani kwa makamu wa Rais Joe Biden. Rhode Island inabaki kama ilivyo kwamba inaweza kwenda popote
Hivyo matokeo ya Rhode Island, Delaware na Connecticut hayana impact kwa wagombea kama yale ya Baltimore au Philadelphia kutokana na idadi ya wajumbe, hivyo macho yapo Pennsylvania na Maryland Zaidi
Tuangalie kwanini California haina umuhimu ukilinganisha na Pennyslavania na Maryland kwa Bw Sanders kwa sasa.
Inaendelea
Hali hii imezua mtafaruku mkubwa ndani ya kambi ya Democratic Party na hivi sasa wanatafuta namna ya kukabiliana na tishio hilo la Bernie Sanders. Wanaona kama anahatarisha umoja ndani ya chama na kisheria hakuna namna ya kumzuia. Mambo aliyoongea Meneja wa Kampeni wa Sanders akiongea na CCN yaliwaacha wapenzi na wanachama katika hali ya mshangao mkubwa!America blog said:Bernie Sanders’ campaign manager, Jeff Weaver, suggested this past week that Sanders will contest the Democratic nomination at the convention in July even if Hillary wins the nomination before that date.
Talking to CNN, Weaver suggested that if Hillary doesn’t win the nomination with pledged delegates alone — the delegates you win in the state primaries and caucuses — Sanders will effectively declare a civil war at the Democrat convention this summer.
Democrat wameshaanza kuwa na wasi wasi kwasababu ya vijana wa Sanders, tayari amewachagiza washinikize kuwa kama si yeye watapigia Republican kura. Sanders ndiye anaweka shinikizo kupitia mtandao wake wa vijanaKuna wakati nilimpenda Bernie Sanders lakini taratibu naanza kuwa na wasi wasi na malengo yake na wale walio karibu yake kwani inaonekana kama vile ama ni yeye la sivyo heri Republicans washinde kuliko Hillary Clinton. Huu msimamo hata baadhi ya wafuasi wake wanao, wako tayari kumpa kura mgombea wa GOP Donald Trump kuliko kumpigia kura mgombea wa Democrats.
Hali hii imezua mtafaruku mkubwa ndani ya kambi ya Democratic Party na hivi sasa wanatafuta namna ya kukabiliana na tishio hilo la Bernie Sanders. Wanaona kama anahatarisha umoja ndani ya chama na kisheria hakuna namna ya kumzuia. Mambo aliyoongea Meneja wa Kampeni wa Sanders akiongea na CCN yaliwaacha wapenzi na wanachama katika hali ya mshangao mkubwa!