Uchaguzi marekani: Mwisho wa Trump waja

Uchaguzi marekani: Mwisho wa Trump waja

Kwani TRUMP ni mwanasiasa au ni mfanya biashara tajiri aka bilionea?
Una akili za kitanzania haswaaaa kuona siasa ni kazi. Eti "akapotea kabisa kisiasa"
Uchaguzi wa marekani umefikia patamu ambako yule mbaguzi, asio waheshimu watu Donald trump anakashfa ya kuwaingilia kimapenzi wanawake wawili kwa lazima. Hii huenda ikamuangusha Trump na ikawa ndo mwisho wake. Jahazi la donald trump linazama na huenda akapotea,kabisa kisiasa.
 
Nakushauri tu ukiwa unapata habari ya upande mmoja basi uwe unajitahidi pia kusikiliza na upande wa pili ili ukija tu humu JF uwe na ' madini ' kama siyo ' nondo ' za kutosha. Kwa kukusaidia tu ni kwamba si kweli kuwa Donald Trump aliyafanya hayo anayotuhumiwa nayo kwani kama Wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kinachoendelea nchini Marekani kwa sasa ni kwamba kuna Kampeni chafu zinazoratibiwa na ' Propaganda ' za kila aina za kuweza kumchamfua Trump ili tu azidi kuchafuka na Wamarekani wamchukie na asishinde. Wamarekeni wanaogopa kuwa kwa mwendendo anaokwenda nao Trump kama akishinda Urais Marekani inaweza kutengeneza ' maadui ' wengi wa ghafla hasa kwa Sera zake Trump ambazo ni za msimamo lakini ni hatarishi kwa ustawi wa nchi ya Marekani ambayo kila siku inataka kujiimarisha Kiuchumi na kujenga Diplomasia imara na Washirika wake.
 
Kwa nguvu iliyotumika dhudi Trump, Mimi mpaka Sasa namuona Trump ndiye mshindi bila kujali matokeo ya mwisho.
Haijawahi kutokea katika historia ya Marekani kwa mgombea kupingwa kwa nguvu kiasi hiki.
 
Mkuu hujui siasa, siasa ya marekani si kama Tanzania.marekani kitu kidogo kinakutoa madarakani. Marekani ni nchi ya wasomi kwa hiyo ili uwe raisi lazima uwe smart usiwe na kashfa yeyote.Trump anadhani kuwa clinton kashfa yake ya e mail itamuondoa madarakani ambacho ni kitu kidogo mno kisiasa. Huu ndo mwisho wa trump, raisi gani mzinzi anaweza kuheshimiwa kupewa nchi kuwaongoza wananchi wastaarabu
Siasa umejifunza mwaka huu Kijana kashfa za yule mama ni kubwa na hatari kwa usalama wa USA, kitu ambacho Trump anakosa ni sapoti ya wafanyabiashara wakubwa kwani hapendi kujipendekeza kwao wakimchangia pesa watampa masharti ndo maana unaona hata media zote kubwa labda ukiondoa Fox marais waliopita wa GOP hawamsapoti Trump lakini jamaa anatisha yule mama zile kashfa za email ni skendo kubwa sana
 
Huyo mama yenu hashindi akishinda nahama duniani mana kitakachofuata ni vita tu

hata mm cimpend Clinton lakin hii nadhir cwez kiuiweka. but naamin still trump atashinda coz licha ya kashfa kibao anazotungiwa, still anasonga mbele kwa kasi sn.
 
U
Kwani TRUMP ni mwanasiasa au ni mfanya biashara tajiri aka bilionea?
Una akili za kitanzania haswaaaa kuona siasa ni kazi. Eti "akapotea kabisa kisiasa"

Unapinga nini unakubali nini!? Kwani uchaguzi sio siasa? Au wewe unaona uchaguzi ni biashara, akili ya Omari Hodari!
 
Utafiti unakuhusu 1:4
U

Unapinga nini unakubali nini!? Kwani uchaguzi sio siasa? Au wewe unaona uchaguzi ni biashara, akili ya Omari Hodari!
 
Ninaamini wamarekani inawasomi wengi. Na wao ndio wataangalia ni mtu gani sahihi. watamchagua ambaye ataenda kuwafanyia kazi wanazo taka wao lakini wao hawawatafata maneno ya kisiasa kwa sababu wanajua hichi ni kipindi cha kuchafuana.
 
kinachoendelea nchini Marekani kwa sasa ni kwamba kuna Kampeni chafu zinazoratibiwa na ' Propaganda ' za kila aina za kuweza kumchamfua Trump ili tu azidi kuchafuka na Wamarekani wamchukie na asishinde. .
GENTAMYCINE,
Heshima yako,
Mpaka sasa tuhuma nyingi anazorushiwa TRUMP ZINABACKUP, Kanda nyingi zinazoibuliwa hajaweza kuzipinga, mpaka sasa anahaha ili kanda zake nyingi zisitolewe, japoa TRUMP anajaribu kila njia kuitumia wikileaks akiwa na support ya Russia ili kumchafua mama Clinton, lakini mpaka sasa ana hali ngumu sana, Mpaka Paul Ryan na baadhi ya G.O.P Wameondoa support,
1.
2.
 
Kweli Mkuu na nakubaliana na Wewe 100% kwa ulichokisema. Upo vizuri sana ' Mnyama ' big up. Napenda Members wenye uelewa ' mkubwa ' na ' mpana ' wa aina yako.
 
Back
Top Bottom