UCHAGUZI KIDATO CHA TANO

UCHAGUZI KIDATO CHA TANO

Anayekwenda shule miaka hii anapaswa kwanza ajiulize kwa nini anataka kusoma hicho anachotaka kusoma. Kama sababu yake ya kuchagua kusoma anachotaka kusoma ni kupata kazi nzuri ya kuajiriwa akishahitimu, huyo yuko more likely kukwama mbele ya safari, regardless ya uamuzi wake wa ama kwenda chuo baada ya form 4 au kwenda high school kwanza. Wale wa mindset ya kusoma ili baadaye apate kazi nzuri ya kuajiriwa (both waliokwenda chuo baada ya form 4 na waliokwenda high school kwanza kabla ya chuo) tunao wengi mitaani na wote ni jobless. Kwa ujumla, hakuna unafuu wowote!

Kama unakwenda shule ili upate maarifa ya kujiajiri, nadhani route yoyote itakufaa, ingawa route ya chuo baada ya form 4 ina uwezo wa kukuweka kwenye focus yako mapema na kukuwezesha kuanza kuyaweka maarifa unayopata kwenye practice mapema zaidi.
A level ni nzuri.
Akienda Chuo atatumia miaka mingi kufikia level fulani.

Wakat akimaliza A level, anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufikia malengo yake.

Chukulia, amalize Clinical Officer; aajiriwe...Huyu mtu mpaka aifikie Medical Doctor[emoji134] itamchukua Miaka mingi tofauti na aliyemaliza Form 6 (yeye anaenda moja kwa moja Medicine).
 
Toa ushauri kijana unakua kama umevimbewa daku.
Ushauri gani sasa unataka???[emoji15][emoji15][emoji15] Wewe hujaona ushauri katika hiyo sentesi au ndo la saba B
 
Hili nalo la msingi la kuzingatia!
Hili ndo kubwa kuliko yote Diploma gharama zake zipo juu kuanzia Maradhi...Chakula mpaka Mavazi ni shughuli nzito sio kiboya tu!! Sasa mtu kajipima uwezo wa familia yake ni elimu bure leo unampeleka Chuo akalipe Mil 1.2 kama Ada hapo Bado hajalaa...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Serikali iache utani aiseee
 
Zingatia haya.

Tamisemi walitoa muda na fursa ya wanafunzi kufanya marekenisho ya machaguo kwenye mfumo wao.

Form 5 nikupoteza muda kwa watoto.
Chuo ndiokila kitu maana anasomea kazi, wakati f5 anasomea hewa maana hajui uelekeo.

Ushauri.
Chuo ni bora kuliko f5
Mkuu una hasira! Kwani ulipata ZERO point ngapi O level?
 
Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza amechaguliwa kozi ya Clinical Officer - Kilosa. Nilitegemea achaguliwe kidato cha tano - Shule Maalum. Swali la kuuliza Je huyu kijana ndiyo alichagua hiyo kozi au Serikali ndiyo imemchagulia?. Mimi sioni kama kuna haki hapa. Basi ngoja nimpeleke Feza Boys hata kwa gharama yeyote.
Mpeleke private kuna taasisi inawafadhili. Analipiwa ada yote
 
Fani nzuri ya kusoma kwa mhitimu wa Form vi kichwa ni ualimu tu bachelor ya education usiniulize kwanini
 
Back
Top Bottom