Uchaguzi Kalenga; CHADEMA leo kuchanja mbuga Magma, Ifunda

Uchaguzi Kalenga; CHADEMA leo kuchanja mbuga Magma, Ifunda

CHADEMA

Political Party
Joined
Apr 13, 2013
Posts
495
Reaction score
2,540
Wakati watani wakiingia mitini kufanya uzinduzi wa kampeni zao uliopaswa kufanyika leo, CHADEMA leo inaendelea kusonga mbele ambapo mbali ya mikutano itakayofanyika kwa Kara zote za Kalenga, timu ya mgombea, mpiganaji Tendega Grace Mvanda itafanya mikutano kata za Magma na kumalizia Ifunda jioni. Kama ilivyo ada tutawaletea live updates za kinachojiri kwa kadri inavyotokea na kusemwa.

==============
Update
==============

Chadema wafanya ubinadamu waahirisha mkutano wa Mgama kutokana na kuwepo kwa msiba kijijini hapo. Katibu Mkuu Dkt. Slaa kwa niaba ya chama ametoa pole kwa wafiwa na wananchi wote kwa ujumla huku mgombea Tendega Grace Mvanga akitoa pole pia na kuwaambia mkutano wake kwa ajili ya kuwaomba kura utapangwa baadae!
 
Go on makamnda tupo pamoja daima, hakuna kulala kata kwa kata, kijiji kwa kijiji na rahaa zaidi man to man...

Godfrey atakuwa na laana ya baba yake Mzee Mgimwa, kwani kifo cha baba yake ni cha utata mtupu, baada ya kufuatilia anasema chanza cha kifo yeye anang'ang'ania nafasi yake.

Na laana imeonekana, baada ya kuwekewa pingamizi na kufoji vyeti.

Laana hii itamtafuna jukwaani na mpaka kwenye sanduku la kura.

Go on Grace....
 
Hali ya hewa huwa inatisha uchizi wake , so wala usitumie maana ni anachangia na kusema kipindi hiki cha Winter ........

Unajua mtu mzima akisema neno lazima ulichukulie maanani labda kama ni mtu chizi. Ahadi ya kurudi Kalenga kama Grace akishinda ni neno zito, yaani kama alishafanya tafiti akajihakishia kuwa Grace hawezi shinda, au ana mpango wa kurudi nyumbani kwao Kalenga, ndio mana nikataka afunguke zaidi ili nijue ni mtu wa maneno yake au ni mtu anayeropoka hovyo hovyo ??
 
Wakati watani wakiingia mitini kufanya uzinduzi wa kampeni zao uliopaswa kufanyika leo, CHADEMA leo inaendelea kusonga mbele ambapo mbali ya mikutano itakayofanyika kwa Kara zote za Kalenga, timu ya mgombea, mpiganaji Tendega Grace Mvanda itafanya mikutano kata za Magma na kumalizia Ifunda jioni. Kama ilivyo ada tutawaletea live updates za kinachojiri kwa kadri inavyotokea na kusemwa.

Kara ndo nini? No wonder we ni msemaji wa Chadema chama kinachoongozwa na mbumbumbu. Mwenyekiti alipata ziro mtihani wa form six, Lema aliangukia pua mtihani wa form four, Sugu hata form four hakumaliza na Msigwa ni la saba. Hata boss wako mwenyewe alifeli chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kama hao ndo viongozi wako, sikushangai wewe kushindwa kuandika kata ukaandika kara. Wewe pia ni kimeo manake, ndege wafananao huruka pamoja
 
Chifu Sappi Mkwawa amemaliza kazi tangu jana ........

Wasifu wa huyu Chifu ni huu:-
(i) Hana asili ya Kaskazini.
(ii) Ni Mwislamu tangu kizazi cha 10.
(iii) Ni mrithi halali wa mtiririko wa ki-chifu toka kwa Mwinyigumba Mtwa Mkwawa Jemadari shupavu.
(iv) Ni Mwanamageuzi halisi sawasawa na wahenga waliomtangulia.
(v) Sio mbaguzi kwani hata wengine wakienda atawapokea; ni Kiongozi/Mtawala wa Wote.
(vi) Hana matamko ya kijinga kulaani wapinzani kwa ghiliba za magamba.
(vii) Mfano bora wa kuigwa katika jamii.
(viii) n.k.
 
wakati watani
wakiingia mitini kufanya uzinduzi wa kampeni zao uliopaswa kufanyika
leo, chadema leo inaendelea kusonga mbele ambapo mbali ya mikutano
itakayofanyika kwa kara zote za kalenga, timu ya mgombea, mpiganaji
tendega grace mvanda itafanya mikutano kata za magma na kumalizia ifunda
jioni. Kama ilivyo ada tutawaletea live updates za kinachojiri kwa
kadri inavyotokea na kusemwa.

o.p.d!
 
Kara ndo nini? No wonder we ni msemaji wa Chadema chama kinachoongozwa na mbumbumbu. Mwenyekiti alipata ziro mtihani wa form six, Lema aliangukia pua mtihani wa form four, Sugu hata form four hakumaliza na Msigwa ni la saba. Hata boss wako mwenyewe alifeli chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kama hao ndo viongozi wako, sikushangai wewe kushindwa kuandika kata ukaandika kara. Wewe pia ni kimeo manake, ndege wafananao huruka pamoja

nasikia wastani wa ufaulu wa darasa la saba umeongezeka wewe umepangiwa form 1 mkoa gani
 
Kara ndo nini? No wonder we
ni msemaji wa Chadema chama kinachoongozwa na mbumbumbu. Mwenyekiti
alipata ziro mtihani wa form six, Lema aliangukia pua mtihani wa form
four, Sugu hata form four hakumaliza na Msigwa ni la saba. Hata boss
wako mwenyewe alifeli chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kama hao ndo
viongozi wako, sikushangai wewe kushindwa kuandika kata ukaandika kara.
Wewe pia ni kimeo manake, ndege wafananao huruka pamoja

Chama cha wasomi ccm mwenyekiti wenu hajui kwanini Tanzania ni masikini na bado anan'gan'gania Ikulu SHAME!
 
Makamanda kila la heri ila watambueni watakaowapigia kura mapema. Watunze shahada zao wapige na walinde kura. Muweke mawakala waaminifu.... Jimbo ni letu kama tutajipanga sawasawa!
 
nasikia wastani wa ufaulu wa darasa la saba umeongezeka wewe umepangiwa form 1 mkoa gani

Waambie viongozi wako wa Chadema wakajiandikishe. Elimu ni mhimu sana. Katika karne hii huwezi kumpa mtu nchi akiwa kashindwa mitihani ya darasani. Mwambie pia Msigwa akajiandikishe form one manake kila mtu anajua elimu yake ni ya darasa la saba
 
Wasifu wa huyu Chifu ni huu:-
(i) Hana asili ya Kaskazini.
(ii) Ni Mwislamu tangu kizazi cha 10.
(iii) Ni mrithi halali wa mtiririko wa ki-chifu toka kwa Mwinyigumba Mtwa Mkwawa Jemadari shupavu.
(iv) Ni Mwanamageuzi halisi sawasawa na wahenga waliomtangulia.
(v) Sio mbaguzi kwani hata wengine wakienda atawapokea; ni Kiongozi/Mtawala wa Wote.
(vi) Hana matamko ya kijinga kulaani wapinzani kwa ghiliba za magamba.
(vii) Mfano bora wa kuigwa katika jamii.
(viii) n.k.
Gambas , eti hizi ndio sifa halali za Chifu aliye ombi kura ziende kwa Grace Tendega jana huko Kalenga ?
 
Back
Top Bottom