Uchaguzi Igunga: Wanaovuma ni wapiga debe na si wagombea wenyewe

Stanley.

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
566
Points
225

Stanley.

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
566 225
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kampeni za huko Igunga, nilichobaini ni kuvuma kwa wapiga kampeni binafsi na sio wagombea wenyewe. Imefikia mahali wapiga kampeni wanashambuliana wao wenyewe kwa kutumia majukwaa na sio kutoa sifa na kasoro za wagombea ili wananchi wafanye uamuzi wenye manufaa kwao. Yanayoendelea huko utasikia Dr. Slaa au Wassira kafanya hivi. Inavyoonesha ni kama chama fulani kimepanga mkakati huo ni kingine kimejikuta kimeingia bila kujijua. Source: Taarifa toka vyombo vya habari.
 

Forum statistics

Threads 1,392,961
Members 528,739
Posts 34,123,561
Top