Mdau
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,789
- 470
Wadau, nimekua nikitafakari sana mwenendo mzima wa uchaguzi unaomalizika katika jimbo la Igunga, kwa kuhusianisha na suala zima la CCM kujivua magamba; kwa mtizamo wangu suala hili halitawezekana tena!!
1. CCM bila nguvu ya Lowassa katika ngazi za chama (simaanishi kwa wananchi au wanachama wake, ni ndani ya chama) haiwezi tena kusimama pamoja....
2. Uwezekano wa kumvua gamba Lowassa na kupelekea uchaguzi Monduli si jambo ambalo CCM italitaka kirahisi kwa sasa, shughuli waliyokutana nayo Igunga, ambapo CDM hawakua na mizizi ya kutosha ilikua si ya kawaida....kwa maana hiyo, hata Chenge gamba limeishia kiunoni kama alivyosema mwenyewe....
3. Lowassa is technically CCM contender for 2015 elections, failure for CCM to nominate this man, itakua ndio mwisho wa chama kama taasisi...2005 JK angeipasua CCM kama wasingempitisha kugombea urais, alikua na support kubwa ya huyuhuyu Lowassa, ambaye ni de facto chairman wa CCM....
4. Nape Nnauye Jr, katibu mwenezi wa CCM is politically dead, ni kama samaki ambaye yupo nchi kavu ambaye ni suala la muda tu kabla mauti hayajamkuta....
Nawasilisha.....