TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,485
- 28,392
SarKozy anadaiwa na wanamchi wa libya Pesa alizotumia kwenye Kampeni za Uchaguzi mwaka 2007.....
Hebu mwanaJF fuatilia kisa hiki hapa chini......
The reason for Sarkozy wanting the complete and total destruction of Libya lies in the threats made against him last week by the Libyan leaders son, Saif al-Islam Gaddafi, who threatened to reveal a grave secret that would bring down the embattled French President.
The grave secret feared by Sarkozy we can further read about as reported Londons Guardian News Service, and which, in part, says:
Muammar Gaddafis son has claimed that Libya helped finance Nicolas Sarkozys successful election campaign in 2007, and demanded that the French president return the money to the Libyan people.
In an interview with the Euronews TV channel, Saif al-Islam Gaddafi said Libya had details of bank transfers and was ready to make them public in a move designed to punish Sarkozy for throwing his weight behind opposition forces.
Source>>>>> Russia Reports France Threat Against Obama Brought
sarkozy anaondoka wafaransa wamechoka na siasa zake...ndo raha ya nchi za ulaya...serikali isipo deliver wanatolewa...sio kama za kwetu huku kubebana na kuchakachua kura kila uchaguzi
Litakuwa jambo jema kwa Wafaransa wa kipato cha chini....Lakini ishu ya NTC security na Sarkozy inahitaji uchunguzi wa kina maana Sarkozy alishirikiana na hawa jamaa kuangusha utawala wa Kijani tupu wa Waafrika wa Libya.Ni dhahiri kabisa kwamba France itakuwa na raisi m-socialist na atapangua sera zote za kuwakandamiza watu wa kipato cha chini.
Sarkozy ana hali mbaya,lakini pia ni hardworker ameisaidia sana France kwenye hiki kipindi cha crisis,tatizo lake amefavor sana matajiriMie nangoja kwa hamu, Sarkozy akibwaga nitafurahi nikiendelea kuomba pia na Obama naye abwagwe.
Sarkozy ana hali mbaya,lakini pia ni hardworker ameisaidia sana France kwenye hiki kipindi cha crisis,tatizo lake amefavor sana matajiri
Waafrika na warabu nao wamezidi!wizi,drugs.Sarkozy ana haki ya kuwachukia.Kuhusu DSK, Sarkozy hata kama alimfanyizia ni kama alimlenga kwenye udhaifu wake.DSK ni weak sana kwa wanawake,kwanza hata huko France ana kesi ya kununua machangudoa.Nafikiri jamaa hajasaidia lolote kwa crisis, kwanza ni mbaguzi sana anawasakama waafrika kama mpira wa kona. Nasikia (sio rasmi)alimfanyia DSK ili asipate mpinzani kwa msaada wa US, in return nao wakamfanyia Gadafi kwa hisa zile zile. Ngoja ni cross fingers.
Hiyo ni tisha toto, hata hapa tumeambiwa mara ngapi "msiwachague wapinzani watavuruga amani?"Kazi ipo,Sarko aliwaambia wafaransa wakimchagua Hollande basi wajiandae kuwa Greece,au Espagne.