Uchaguzi Chadema

Uchaguzi Chadema

Hivi neno democrasia lina maana gani? na huwezi ukatoa mifano ya TANU na CHADEMA kwani kila kimoja na wakati wake na mazingira halisi kama uongozi mbowe sio wakwanza kukiongoza CHADEMA

TANU ilikuwa na lengo la kumuondoa madarakani mkoloni mweupe CHADEMA ina lengo la kumuondoa mkoloni mweusi.
 
CCM ni wajanja sana wanatakakuifundisha CHADEMA ili ifuate matakwa yao kwa kisingizio cha demokrasia.Isije ikawa magamba wamemwandaa mamuluki ambae wanataka kumupenyeza kwenye safu ya uongozi wa CHADEMA ili wapate kaunafuu fulani baada ya kubanwa kisawa sawa na uongozi uliyopo.Hii huruma ya magamba kwa CHADEMA wanaitoa wapi?Tangu lini magamba wakawa na demokrasia ya kweli kiasi cha kutaka kuifundisha CHADEMA demokrasia?.Mbona Mwenyekiti wao wa kwanza Jk Nyerere alikaa kwenye uongozi wa TANU bila kuitisha uchaguzi mpaka akaipeleka kwenye uhuru mwaka1961 hata baada ya nchi kupata uhuru aliendelea kuwa mwenyekiti.Ikazaliwa CCM akaendelea kuwa mwenyekiti hivyo hivyo huku akiendelea kuwa Rais wa Tz hata alipoacha urais kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 alikataa kukabidhi nafasi ya mwenyekiti wa chama alikuja kukabidhi baada ya kujiridhisha kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukabidhi nafasi hiyo.tangu wakati huo nafasi ya Urais na kwenye chama wagombea walikuwa ni mwenyekiti na kivuli mtindo ambao unaendelea mpaka sasa kwenye nafasi ya uwenyekiti wa chama ambapo ni maruku mwenyekiti wao kupingwa mpaka baada ya muda fulani kupita.Ukija upande wa CHADEMA hakuna hata kiongozi mmoja aliekaa zaidi ya miaka 30 wawe waasisi wa chama au awe nani.Ukiangalia kwenye safu ya uongozi wote ni viongozi wapya humukuti kiongozi wa mwaka 47.CHADEMA wanafaa kuwa walimu wa demokrasia.

kwani wewe hujui hadi sasa Mtei ni mwenyekiti
 
Demokrasia ya kuwa mwenyekiti wa kudum??

Ndiyo maana ni kasema CCM haiwezi ikawa mwalimu wa kuifundisha CHADEMA demokrasia wakati mwenyekiti wao alikaa zaidi ya miaka 30 mpinzani wake ikiwa ni kivuli pia mwenyekiti wake hawezi kupingwa mpaka atakapo maliza muda wake utakapomaliziki ili ajiondokee mwenyewe kwa ujumla uchaguzi wa CCM ni viini macho.
 
Mbowe amepokea urithi wa uenyekiti wa NGO ya mkwe wake. Hadi apatikane mwana ukoo mwingine ndio uchaguzi utafanyika

Mbowe ni kiongozi wa ukweli....CCM mnaigwaya safu ya uongozi uloopo sasa.....hilo liko wazi....Mnamtaka Zito ili ?
 
Mie nilidhani makamanda tunafanya uchaguzi hivi karibuni?maana inabidi tubadilishe mtu kwenye nafasi ya Katibu Mkuu,huyu tuliyenaye ni full majanga,nasikia kampachika mimba house girl wake.

kwani wewe hujaambiwa kama mimba uliyozaliwa wewe mama yako alikuwa house girl wa baba yako,tena alibakwa chooni!!?muulize vizuri mama yako.
 
Mada hii ni kipambe zaidi,mtoa mada kamsifu sana mbowe na kumponda zitto.Huu ni uchonganishi kwa viongozi wetu.Cha ajabu Ben Saanane kavutiwa na mada hii ya kipuuzi na kuisambaza facebook.Uendeshaji huu wa vyama vya siasa ni wa kijinga na kinafiki.
 
Unazidi kutuaminisha kuwa CHADEMA ni chama cha kifalme kisicho na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa kipo kwa manufaa ya watu wa kaskazini tu
CCM wenyewe kama wanadhani hiyo demokrasia ya kuchagua wenyeviti wanayo, wamchague mwenyekiti wa ccm nje ya Rais tuone.
 
Hatutaruhusu mamluki kuteka nyara harakati za ukombozi kisa democrasia,tunajua kila jema kwa ajili ya watanzania
 
Aaaaghrrrrr!!!!!! mimi nilijua unatangaza tarehe ya uchaguzi kumbe simulizi za sungura na fisi?
Napendekeza uchaguzi ndani ya CDM uwe 2016 baada ya uchaguzi mkuu. Hii ni kwa kuwa mauchaguzi ya vyama yanachafua sana hali ya hewa ndani ya vyama. Ndo maana naona humu JF pro-ccm wanahoji kwa shinikizo uchaguzi wa CDM kuwa ufanyike kabla ya Uchaguzi mkuu!!
 
Uchaguzi miaka mitano bado kuisha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mie nilidhani makamanda tunafanya uchaguzi hivi karibuni?maana inabidi tubadilishe mtu kwenye nafasi ya Katibu Mkuu,huyu tuliyenaye ni full majanga,nasikia kampachika mimba house girl wake.

Unapenda kujiita majina makubwa makubwa.Ni lini ulishawahi kuwa CHADEMA wewe?
 
Mada hii ni kipambe zaidi,mtoa mada kamsifu sana mbowe na kumponda zitto.Huu ni uchonganishi kwa viongozi wetu.Cha ajabu Ben Saanane kavutiwa na mada hii ya kipuuzi na kuisambaza facebook.Uendeshaji huu wa vyama vya siasa ni wa kijinga na kinafiki.
Ni wapi nilikoonyesha kuvutiwa na mada hii?Sijavutiwa wala kukasirishwa na mada hii.

Kwenye post zangu JF huwa naweka mada za kufurahisha na kukasirisha vilevile.Sasa onyesha ni kwa namna gani nimevutiwa na mada hii.
 
kwa vyovyote itakavyokuwa ccm hawana uwezo wa kihalali au kiharamia wa siyo tu kuchagulia bali hata kufikiria kusimika mtu wanayemtaka cdm , na nachukua nafasi hii kuonya yeyote kutoka ccm kutothubutu kufanya jambo hilo , maana ataaibika vibaya mno ! Cdm daima .
 
Unazidi kutuaminisha kuwa CHADEMA ni chama cha kifalme kisicho na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa kipo kwa manufaa ya watu wa kaskazini tu

Hebu nikumbushe ndugu yangu;Wakati wa uchaguzi ndani ya ccm chama kinachojua demokrasia ya kweli;chama chenye uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa; Je.
1.Kikwete aligombea na nani katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa ccm taifa?
2.Mangula aligombea na nani katika kinyang'anyiro cha nafasr ya makamu mwenyekiti wa ccm bara?
3.Shein aligombea na nani katika kinyang'anyiro cha makamu mwenyekiti wa ccm zanzibar?
4.Kinana aligombea na nani katika kinyang'anyiro cha nafasi ya kaibu mkuu wa ccm taifa?
Tafadhali wataalam wa demokrasia tuelezeni
 
Katiba cdm haisemi uchaguzi NI baada Ya miaka miNgapi? Wa mwisho Ulkuwa lini? Malumbano meeengi Wakati msahafu Upo :banghead:
 
Mada inahusu uchaguzi wa SACCOS ya chadema. Suala la katiba tunasubiri juice siku ya jumanne
Kwa sababu mwenyekiti wa chama chako anachojua ni juice tu atasema nini GPA 2.0 huoni kila kitu lazima asukumwe kama toroli CCM chama cha majambazi wauza unga kila mtu ana kata mbuga kukimbia ukweli
 
Back
Top Bottom